Friday, October 18, 2013

(Photo's) Check totoz hizi kutoka IMAGE ARRAY PRODUCTION

Models kutoka Image Array Production katika pozi tofauti tofauti. Image Array Production pia ina host sherehe mbali mbali kama Harusi nk pia wanakodisha models kwa matukio mbalimbali kama kwenye video za wasanii nk.

No comments:

Post a Comment