Thursday, April 23, 2015

Hongera kwa ushindi.. Lakini camera za MAPAPARAZZI hazikuiachia hii suruali ya Pep Guardiola !!

CDJt2wyW4AA8Ser
Uwanjani palinoga unaambiwa.. Hapa Bayern Munich vigogo wa Kijerumani, hapa FC Porto wababe wengine wa Ureno.. dakika 90 zikakamilika kwa kuiweka Bayern kwenye headlines zenye wino mzito wenye maandishi ya ushindi wa goli 6-1 !!
Nilichogundua ni kwamba kumbe camera za wanaspoti hazikuangalia matokeo hayo ya nguvu, walikua karibu pia na suruali ya Kocha Pep Guardiola, nna hizi pichaz ambao ni story kubwa bado mitandaoni mpaka leo yani !!
_82475481_pep3
720p-Guardiola Bayern Munich Rips Trousers
349141-pep-guardiola-trouser
CDJt2wyW4AA8Ser
pep-guardiolar
Ut_HKthATH4eww8X4xMDoxOjBzMTt2bJ

Kingine nilichokuletea leo ni hii list ya Marais 8 wa Afrika wanaoongoza kwa utajiri

mugaKuna tafiti mbalimbali zilizowahi kufanywa, lakini leo nimekuja na hii list ya Marais nane wanaoongoza kwa kuwa na utajiri mkubwa zaidi ya wenzao Afrika.
Ukiachilia mbali marais wengi wa Afrika kupenda kukaa kwa muda mrefu madarakani lakini kuna hili la kujilimbikizia mali, wengine huzipata kabla ya kuwa marais lakini wengi wao huzipata wakati wanashikilia madaraka kwa kipindi chote wanapotawala nchi husika.
dos
Jose Eduardo Dos Santos ndiye Rais anayeongoza kwa utajiri Afrika kutoka Angola, aliingia madarakani mwaka 1979, ana utajiri wa dola bilioni 20
MOROCCO-SARKOZY-MOHAMED-VI
Mohammed V1 Ni Mfalme wa Morocco ambaye amekaa madarakani kwa miaka 15 ,, ana utajiri wa dola bilioni 2.
ekwa
Teodoro Obiang Nguema MbasogoRais huyu wa Equatorial Guinea aliingia madarakani 1979, ana una utajiri wa dola milioni 600 licha ya wananchi wa nchi hiyo kuishi maisha ya kimaskini kutokana na uchumi wao kuwa chini
kenya
Uhuru Kenyatta ni Rais wa Kenya ambaye alichaguliwa mwaka 2011, ana utajiri wa dola milioni 500, mbali ya kuongoza nchi ana vyanzo mbalimbali vya utajiri ikiwa kuwa na hisa nyingi katika kampuni mbalimbali,benki na mahoteli makubwa ya kifahari.
biya
Paul Biya ni Rais wa Cameroon tangu mwaka 1982, ana utajiri wa dola milioni 200, unaambiwa ndiye rais anayetumia kiasi kikubwa cha pesa katika ziara zake kuliko marais wote duniani na hutumia euro 30,000 kwa siku katika ziara zake
king
King Mswat iii Ni mfalwe wa Swazland akiwa na utajiri wa dola milioni 100, anashika nafasi ya 15 katika familia za kifalme tajiri duniani, Unaambiwa wake zake 13 hutumia zaidi ya dola milioni sita kufanya manunuzi yao pekee, pia Serikali yake hutenga bajeti ya dola milioni 61 kila mwaka kwa ajili ya matumizi ya nyumbani
dd
Idriss Derby Ni Raisi wa Chad tangu mwaka 1990 na ana utajiri zaidi ya dola milioni 50
mugabe
Robert Mugabe wa Zimbabwe, ana zaidi ya miaka 26 akitawala nchi ya Zimbabwe, utajiri wake ni dola milioni 10