Tuesday, September 30, 2014

Mwigizaji wa filamu nchini FaizaAlly amemwagana na mwanamuziki mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu …
sugu
Kupiia Instagram, Faiza ameandika maneno yanayoonyesha amemwagana na Mh.Sugu ambaye pia ni mbunge wa Mbeya mjini kupitia Chadema.
sugu

Monday, September 29, 2014

Muimbaji wa muziki wa Bongo Fleva Said Salim 'Side Boy Mnyamwezi' enzi za uhai wake.
Muimbaji wa muziki wa Bongo Fleva, Said Salim aliyekuwa akitumia jina la kisanii la Side Boy Mnyamwezi amefariki dunia. Side Boy amefariki leo katika Hospitali ya Nyangao iliyopo mkoani Lindi. Aliwahi kutoa nyimbo kadhaa zikiwemo ‘Hujafa Hujaumbika’, ‘Usidharau Usiyemjua’ na ‘Kua Uyaone.’

MSANII WA BONGO FLEVA SIDE MNYAMWEZI AFARIKI DUNIA

Muimbaji wa muziki wa Bongo Fleva Said Salim 'Side Boy Mnyamwezi' enzi za uhai wake. Muimbaji wa muziki wa Bongo Fleva, Said Salim aliyekuwa akitumia jina la kisanii la Side Boy Mnyamwezi amefariki dunia. Side Boy amefariki leo katika Hospitali ya Nyangao iliyopo mkoani Lindi. Aliwahi kutoa nyimbo kadhaa zikiwemo ‘Hujafa Hujaumbika’, ‘Usidharau Usiyemjua’ na ‘Kua Uyaone.’…
STOR BY PRINCE ALPHA

Taarifa ya kifo cha msanii Side Boy Mnyamwezi.

ssIngawa Nafasi yake katika muziki wa Bongo Fleva ilikuwa ikipanda taratibu kulingana na aina ya muziki aliokuwa akiumba,single iliyomtambulisha zaidi kwenye muziki wa Bongo Fleva inaitwa Kua uone ambayo alimshirikisha Ally Kiba.
sideeee
Mchana wa leo imetoka taarifa kuwa amefariki dunia ambapo kwa zaidi ya mwezi mmoja alikua kalazwa kwenye hospitali ya Nyangao iliyopo Mkoani Lindi ambapo kiasili ndiko nyumbani kwao.
Mipango ya mazishi imepangwa ambapo atazikwa kesho huko huko Lindi,Rest In Peace Side Boy,moja ya post zake kwenye mtandao wa Facebook aliandika ‘habari za usiku huu wapendwa!dua zenu zinahitajika coz hali yangu c poa kabisa’

side
Side Boy Alitoa single kadhaa ikiwemo Hujafa hujaumbika,Jifungue salama,Usimdharau Usiyemjua na Kua Uone,Hii ni moja ya single zake ambayo ili hit miaka 6 iliyopita inaitwa Kua uone.
Bonyeza play kutazama.

Sad: Msanii Wa Bongo Flava Side Boy Mnyamwezi Afariki

posted 10 hours ago by admin
Habari za kusikitisha zilizothibitishwa, zinaeleza kuwa msanii wa bongo aliyekuwa anajulikana kama Side Boy Mnyamwezi amefariki dunia hii leo.
Side amefikwa na umauti katika hospitali ya Nyangao iliyopo katika mkoa wa Lindi.
Msanii huyo alifahamika zaidi kwa wimbo wake wa ‘Kua uyaone’ aliomshirikisha Ali Kiba.
Nyimbo nyingine alizowahi kutoa ni pamoja na ‘Hujafa Hujaumbika’ na ‘Usimdharau Usiyemjua

Birthday ya Wema jana: Diamond amnunulia gari jipya kama zawadi ya birthday

Birthday ya Wema jana: Diamond amnunulia gari jipya kama zawadi ya birthday
     
    Jumapili ya September 28 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mrembo aliyebeba taji la Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. katika kusheherekea siku hiyo mpenzi wake Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz alithibitisha kwa vitendo kuwa mapenzi yao bado yako imara, kwa kumnunulia zawadi ya gari jipya aina ya Nissan.
    Picha ya gari hilo la rangi nyeusi iliambaatana na ujumbe mzuri ambao Diamond alimwandikia wema kupitia akaunti yake ya Instagram yenye followers 236,841.

    “Nlitama nikupe vingi, wenda ingenisaidia kueleza ni kias gani napenda nikuone ukifurahi kwenye siku yako hii ya kuzaliwa…lakini tu sina uwezo huo mumy… tafadhari pokea kidogo hichi nlichojaaliwa leo….” Huku akionesha gari hilo pichani


    ANGALIA ALICHOKIANDIKA 'MASANJA MKANDAMIZAJI' BAADA YA DIAMOND KUMZAWADIA GARI WEMA SEPETU

    LIVE MUDA HUU: HAPATOSHI SERENGETI FIESTA NDANI YA UWANJA WA SOKOINE JIJINI MBEYA MUDA HUU


     Baadhi ya mashabiki wa mziki wakiwa kwenye foleni ya kuingia ndani ya uwanja wa Sokoine kusheherekea tamasha la Serengeti Fiesta.


     Baadhi ya wasanii wachanga jijini Mbeya wakionesha vipaji vyao kabla ya wasanii wakubwa hawajaanza kupanda jukwaani.



     Mashabiki wa Mziki Mbeya wakiwa wamefurika ndani ya Uwanja wa Sokoine Mbeya kushuhudia Serengeti Fiesta usiku huu.
    Sehemu ya Uwanja wa Sokoine eneo la kuchezea(pitch) ambayo baadhi ya mashabiki wa Mpira walitaka kugomea wakihofia kuharibika ikionekana katika ubora wake kutokana na kuwekewa ulinzi Mkali.

    Pichaz 49 za Fiestani Mbeya jana sept 28… Linah, Linex, Mr. Blue, Stamina, Nay na wengine

    25
    Linah
    Kwa mara ya pili mfululizo mkoa wa Mbeya umeivunja rekodi ya kipekee kwenye mahudhurio ya watu wa nguvu waliojitokeza kuisupport bongofleva kwenye uwanja wa Sokoine ambapo mwaka huu pia pamoja na kuivunja rekodi ya mahudhurio, wamevunja rekodi ya kupiga kelele za shangwe na kuimba na wasanii wao wanaowapenda.
    24
    23
    26
    21
    2
    3
    4
    6
    7
    8
    9
    Baraka da prince
    5
    10
    Neylee
    11
    Mo Music
    12
    Rachel Mapenz
    13
    14
    15
    16
    17
    18
    19
    20
    27
    28
    29
    30
    31
    32
    33
    34
    35
    36
    37
    38
    39
    40
    43
    44
    45
    46
    47
    48
    49