.Expect Unexpected!
HII NAYO SIYO NJIA SAHIHI!
HII NAYO SIYO NJIA SAHIHI!
POLISI SIO MAADUI ZETU;YUPO ADUI WETU!
Hawa ni Chombo cha dola wana tekeleza AMRI NA MAAGIZO tu! Wana tekeleza Sheria mama! Katiba ndiyo ime wapa Go ahead! Ikumbukwe hawa wame apa kutii na kulinda AMANI.
Kwao hakuna kuhoji... Ni kutekeleza AMRI! Hata kama wata tuua Tusi walaumu wao kwani Wanatekeleza Wajibu wao.
Kwao hakuna kuhoji... Ni kutekeleza AMRI! Hata kama wata tuua Tusi walaumu wao kwani Wanatekeleza Wajibu wao.
Hawa ni ndugu zetu...
Ni kaka zetu....
Ni wajomba zetu...
Ni Watoto wetu!
Ni kaka zetu....
Ni wajomba zetu...
Ni Watoto wetu!
Wengi wao Wame hifadhiwa kambini au sisi kama jamii tume wapa hifadhi! TIMTAFUTE ADUI YETU KWANZA! TUMJUE ni nani ANATIGOMBANISHA ili tumwite tumzinguke Tumweke kati naTUMSUTE huyo.
Ndio Maana Wascotland Waka amua Ipigwe Kura ya NO THANKS na YES!
Nina Kubaliana Kudai HAKI!
Lakini Sikubaliani na kudai HAKI kwa Mtindo wa Vurugu kamwe! ~Namuenzi Zaidi MARTIN L jr.
Lakini Sikubaliani na kudai HAKI kwa Mtindo wa Vurugu kamwe! ~Namuenzi Zaidi MARTIN L jr.
Itakuwa ni sawa na Kupigana na adui asiye~WRONG ENEMY! Nisawa na zile zama za LUDISM na CHATNTISM badala ya Kupambana kwa Hoja na Ushahidi Thabiti na Unaye pingana naye UNA ANZA KUVUNJA MASHINE NA KUCHOMA MASHAMBA YAKE!
KITENDO HIKI NI CHA KIHARIFU NA HAKIPASWI KUCHELEWA.
Tofauti Zetu Kisiasa Zisi TUVISHE WENDA WAZIMU.
Hawa hata Wakiumia Watatibiwa na sisi kama jamii kwa njia ya DAKTARI wetu ama Kodi zetu! Ni sawa na kumchania Sare au kumpokonya Kofia Polisi!
Hata kama una jua utamzidi nguvu...
TII SHERIA..
TII SHERIA..
SHINDA KWA HOJA NA WALA SIO KWA MABAVU.
No comments:
Post a Comment