Taarifa kuhusu ajali nyingine ya moto Dar.
Taarifa zilizotufikia muda mfupi uliopita ni kuhusu tukio la ajali ya moto Dar es salaam.
Kupitia kipindi cha HIGHLANDS JAM kinachorushwa na HIGHLANDS FM,mtangazaji BENNY MBILINYI ametoa taarifa kuhusiana na jali ya moto iliyotokea katika jengo la Machinga Complex lililopo Ilala, Dar es saalam
Chanzo cha moto huo mpaka sasa hakijafahamika na tunaendelea kufuatilia ili kukupa taarifa zaidi na hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo.

Wananchi wakitazama jingo hilo linanyo teketea kwa moto

No comments:
Post a Comment