Saturday, October 25, 2014

BREAKING NEWS: SITTI MTEMVU DROPS HER MISS TANZANIA 2014 CROWN

Here is what she wrote on her INSTAGRAM page;

MORE DETAILS

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Story hii:
FacebookGoogle+Twitter

0 RESPONSE TO "BREAKING NEWS: SITTI MTEMVU DROPS HER MISS TANZANIA 2014 CROWN"

Tuesday, October 21, 2014



ANGALIA KAULI ZA WASANII NA WADAU WA MUZIKI BONGO KUHUSU KIFO CHA YP WA TMK WANAUME FAMILY

Msanii YP Enzi za uhai wake

Sunday, October 19, 2014


 JWTZ itoe tamko juu ya Diamond na Ney wa Mitego Kuvaa Sare za jeshi

Kama wiki mbili zimepita toka jeshi letu pendwa litupige mkwara juu ya matumizi ya sare zake au zinazofanana na hizo kwa mtu ambae si askari.. Kwamba ukivaa tu basi umevunja sheria na inapaswa uadhibiwe mara moja, either mahakamani au 'wapigwe tu'.. Hilo linapewa nguvu na taarifa ya juzi kati jamaa kulazimishwa kuoga maji ya barabarani maeneo ya kariakoo baada ya mjeda mmoja kumnyaka na nguo zinazofanana na zao..

Sasa cha ajabu mbona leo katika tamasha la Fiesta mwanamziki Diamond na timu yake pamoja na Ney anayewatega, wameonekana wazi wakiwa na sare hizo tena wamezivaa hovyo hovyo wakinengua jukwaani.??? Au hiyo sheria inamgusa nani?


Quote By MstahikiMeya View Post

Wakuu naomba Jwtz watoe tamko juu ya mavazi walio vaa jana diamond na ney wamitego...

walivaa sare za jeshi tena ney Lienda mbali na kuvaa mlegezo kata K

je nguo za jeshi zinaruhiwa kuvaliwa kwenye birudani?

nawasilisha wakuu...maana miaka ya nyuma tushavuliwaga sana pensi za jeshi

nawasilisha kwa mara ya pili

JWTZ itoe tamko juu ya Diamond na Ney wa Mitego Kuvaa Sare za jeshi

huyu kijana akiwa na ufahamu kuwa television ya taifa inaonyesha hili tamasha lao kavaa SARE ZA JESHI tena full kuanzia viatu mpaka kofia.

Wamshughurike bila kujali urafiki wake na Kikwete.

Wasanii ni Mfano wa Kuiga, Sasa hawa wanafundisha nini watu wengine?

hii ni dharau


; Today at 11:01.

Tuesday, October 14, 2014

Baada ya ile lift, ndugu zangu wa Mbeya wamezindua haya Mabasi time hii

basi 10Najua miezi michache iliyopita kulifanyika uzinduzi wa lift ya kwanza kwenye gorofa jijini Mbeya (BONGO TV) ambapo uzinduzi huu uliohudhuriwa na watu wanaozidi 200 kwa mujibu wa msemaji wa chama cha Waalimu, uliufanya mkoa huu uingie kwenye headlines za hata utani kwamba mtoto aliezaliwa siku ya uzinduzi huo amepewa jina la ‘Mwakalifti
Habari mpya ya uzinduzi Mbeya sasa hivi ni kuzinduliwa kwa Mabasi ya Ndenjela Jet yanayofanya safari zake kwenye mikoa ya Mbeya, Dar na Rukwa kwa mujibu wa alphamsigwa.blongspot.com
basi 3Unaambiwa mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro ndio alikua mgeni rasmi yani lakini 
pia
 vilevile uzinduzi huu ulihudhuriwa pia na mkuu wa Polisi Mbeya Ahmed Msangi.
Basi 1
basi 2
basi 4
basi 5
basi 6
basi 7
basi 8
Mwanamke huyu aitwae Nusura ni mmoja wa madereva wa mabasi haya.
basi 9
Huyu ni mmoja kati ya Makondakta wa mabasi haya.
basi 12
Watu wakifatilia uzinduzi…
Basi 11
Burudani ikitolewa na msanii ajulikanae kama ‘Awilo’
Kama una chochote cha kuandika kuhusu hii tafadhali usisite kuacha comment yako hapa chini mtu wangu…

Good news!! @Aytanzania aanza kushoot video mbili huko Marekani.


.
.
Ambwene Yesaya aka AY ambaye ni mmoja kati ya wasanii wachache wa Tanzania ambao ujio wao huwa hautabiriki kutokana na uwezo wake mkubwa wa kufanya mitindo mingi ya muziki.
Good News ni kwamba sasa hivi yuko nchini Marekani ambako ameenda kushoot video wa wimbo mpya ‘Going Down’ aliowashirikisha  Ms Triniti & Lamyia,ikiwemo na ile collabo aliyofanya na msanii wa Marekani mwenye asili ya jamaica ‘Sean Kingston
Kupitia ukurasa wake instagram hitmaker huyo wa single ‘Adela’ ameshare picha akiwa huko Marekani katika utengenezaji wa video hizo mbili kuandika
Bongo Flava we’ve arrived to 
Hollywood
 Hills…I’ll tell u later what m doin here with@seankingston#TANZANIA #Jamaica

.
.#Repost from @producerriley with @repostapp — Tanzanians best AY and I shooting a video for the next single. Looking for our second #1 video in Africa !! #africa #ay #tanzania #seankingston #mstriniti
.

Sunday, October 12, 2014

HALMASHAURI YA JIJI MMELIONA HILI KATA YA FOREST? MAANA HAKUFAI TAKATAKA NA MAJITAKA YANATIRIRIKA MITAANI

Haya ni maeneo ya forest ya zamani jirani na shule ya ST. Franssic au jirani na hoteli ya Grand Palm  kwa ujumla hakufai hizi taka sasa takribani zaidi ya mwezi sasa zipo hapo na zinaendelea kujaa je wahusika mpoo? 


Moja ya walemavu wa akili akiokota chakula eneo hilo 

Ni hatari kwa watoto na kwa wale wenye ulemavu wa akili maana taka hizo ninanuka sana



Kero nyingine  mitaa hiyo hiyo ya forest ni majitaka yanayotiririka toka kwenye nyumba na kuingia mtaani huku wahusika wakipota hapo bila ya kuchukua hatua yeyote  jamani mwabwana afya mpoooo?

Maji taka hayooo yanaendelea na safari ya kuchafua mtaaa 

Safari inaendelea na huku harufu mtaa mzima



Thursday, October 9, 2014

Uliiona hii picha ya Polisi wa Tanzania iliyosambaa mitandaoni? hatimaye maamuzi yametangazwa

askari 2Kama kila siku huwa unaingia 
facebook
, whatsapp au instagram inawezekana ukawa ulikutana na hii picha ya Askari Polisi ambao walipigwa picha wakiwa wanakiss wakiwa ndani ya sare za jeshi hilo.
Sasa taarifa mpya iliyotoka baada ya hii picha kuzidi kusambaa ni kwamba Jeshi la Polisi Kagera limechukua maamuzi ya kuwafukuza kazi askari hawa wawili pamoja na mwingine mmoja ambae ndio aliipiga hii picha kupitia simu yake ya mkononi.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Henry Mwaibambe amewataja askari hao kuwa ni PC Asuma Mpaji Mwasumbi mwenye namba F.7788,PC Fadhili Linga mwenye namba G 2122 na PC Veronica Nazaremo Mdeme na wote walikuwa askari wa kikosi cha usalama barabarani wilayani Missenyi.
ASKARIKamanda Mwaibambe amezungumza na ITV na kusema askari hao walitenda kosa hilo la fedhea kwa kupiga picha kinyume na maadili ya jeshi hilo mwaka 2012 wakiwa kazini na kwamba PC Fadhili ndiye aliyehusika na kupiga picha hizo kwa kutumia simu yake ya mkononi na kuituma katika mitandao mbalimbali ya kijamii kitendo ambacho ni kinyume cha maadili kwa sababu mbalimbali.
Mwaibambe amekiri kuwa picha husika inayoonekana kwenye mitandao ni picha halisi ambayo haijachakachuliwa hivyo ni wazi kila askari kujua maadili ya kijeshi yapo kisheria na askari yeyote anafundishwa namna ya kuishi katika maisha ya utumishi wa jeshi la Polisi.
Unataka stori kama hizi zisikupite? unataka kuwa kupata kila kinachonifikia? karibu ujiunge na mimi kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Instagram Facebook

Thursday, October 2, 2014

Shabiki akimpongeza Wastara kwa kumbeba mgongoni.
Sherehe hiyo ya kuzaliwa ya nyota huyo ilifanyika wikiendi iliyopita katika Ukumbi wa Dar West uliopo Tabata jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo mastaa wenzake wa filamu.
Wastara ambaye alionekana kama bibi harusi jinsi alivyopendeza, baada ya burudani ya muziki kupita, watu wote walisimama na kuomba dua kwa ajili ya marehemu wote akiwemo Sajuki, ndipo Wastara alipoingiwa na huzuni kubwa huku machozi yakimlengalenga baada ya kusikia jina hilo la marehemu mumewe.Wastara akisherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa na msanii mwenzake Stanley Msungu.
Kutokana na machozi hayo ya Wastara, ukumbi mzima ulizizima kwa majonzi kwa muda, baadaye burudani zikatawala kisha Wastara akapewa nafasi ya kuzungumza ambapo alimmwagia sifa za kutosha meneja wake, Bond Bin Sinan na kusema baada ya Sajuki kufariki, Bond ndiye amekuwa msaada mkubwa kwake.
Akipongezwa na meneja wake Bond Bin Sinan.
“Ukweli namshukuru sana Bond kwani kama siyo yeye nisingefika hapa nilipo, amekuwa akinishauri na kunisimamia katika kazi zangu za sanaa,” alisema Wastara.
Baada ya hapo, Bond naye alipewa nafasi ya kuzungumza ambapo naye akammwagia sifa Wastara.
“Wastara ni mwanamke mwenye sifa za kuitwa mwanamke na ninajivunia kufanya naye kazi kwani anajitambua na anaelewa anachoelekezwa,” alisema.
Mzee Chilo akiwa na Cathy katika pozi ukumbini hapo.

Baadhi ya mastaa waliokwepo kwenye sherehe hizo Ray na mpenzie Chuchu hans.
Katika sherehe hiyo, msanii Vincent Kigosi ‘Ray’ na mpenzi wake Chuchu Hans walikuwa kama kumbikumbi kwani waliingia wakiwa wameshikana mikono huku wakiitana mume, mke na kuzunguka pamoja wakiwa wameshikana viuno.
Mastaa kibao walihudhuria akiwemo, JB, Flora Mvungi, Sajent, Nisha, Mzee Chilo, Dude, Tito, Kupa, Cathy na wengine wengi huku upande wa burudani, mwimbaji wa Taarab, Amigo akitumbuiza.