Hakuna
Afrika nzima; Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC ya Dar es
Salaam, lililowasili nchini juzi likiwa tayari kusafirishwa visiwani
Zanzibar ambako timu hiyo imekwenda kushiriki Kombe la Mapinduzi.
Hili ni aina ya mabasi ambayo yanatumiwa na klabu za Ulaya kama Manchester United, Bayen Munich na Barcelona ambalo kwa Afrika Azam inaweza kuwa klabu ya kwanza kulimiliki.
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha ‘amemshika uchawi’ msanii mwenzake, Nasibu
Abdul ‘Diamond’ kufuatia madai kuwa, kuna msanii maarufu Bongo
alikwenda kwa mganga wa kienyeji Tanga akitaka kumfanyizia ‘madongoloji’
mrembo huyo ili mambo yake yaende ndivyo sivyo.
ILIKUWAJE KWANI?
Desemba
22, mwaka jana, mtu mmoja aliyedai ni sangoma aishiye Tanga mjini
alituma ujumbe mfupi wa maneno (SMS) kupitia simu ya chumba…
Mtu
huyo alisema anaomba namba hiyo kwa sababu kuna mtu alikwenda kwake
(Tanga) akitaka amfanyizie Baby Madaha mambo yaende kombo.
Taarifa zilizoifikia ALPHA MSIGWA.COM ni kwamba Waziri wa fedha wa Tanzania William Mgimwa amefariki dunia leo hospitali ya Milpark nchini Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kwa siku kadhaa. Taarifa
ambazo HAZIJATHIBITISHWA zinasema waziri huyu alianza kuumwa akiwa
kwenye ndege akitokea Marekani ambapo kwenye ndege hiyo inadaiwa alikula
kitu ambacho hatakiwi kula kwa sababu kina mdhuru.
Breaking: Kuhusu bomu lililoonekana Dar es salaam
Ni taarifa ambazo zimeifikia ALPHA MSIGWA.COM saa saba kasoro mchana wa January 2, 2014 kutoka Shekilango Ubungo Dar es salaam.
Hivi ndivyo Madee alivyomzawadia gari meneja wake.