Hivi ndivyo Madee alivyomzawadia gari meneja wake.
Meneja kutoka Kundi la TipTop Conection lenye maskani yake pale Manzese Tip Top Babu Tale usiku wa kuamkia tarehe 1 2014 alikua akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa ambapo katika vitu ambavyo waliohudhuria hawakuvitarajia ni aina ya zawadi iliyotolewa na msanii wa siku nyingi ambae amekua chini ya Bab Tale, Madee.
Star wa huyu wa single mpya ya ‘tema mate tumchape’ aliamua
kumzawadia gari aina ya BB NEW MODEL lililoagizwa Japan na kumkabidhi
mbele ya waliohudhuria akiwemo mwimbaji Amini, Ditto, Keisha, meneja wa
kundi la Tmk Wanaume Family Said Fela na watu wengine wengi.

Keisha akilishwa keki na Bab Tale.
Ditto akichukua kipisi chake.
No comments:
Post a Comment