Taarifa zilizoifikia ALPHA MSIGWA.COM ni kwamba Waziri wa fedha wa Tanzania William Mgimwa amefariki dunia leo hospitali ya Milpark nchini Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kwa siku kadhaa. Taarifa
ambazo HAZIJATHIBITISHWA zinasema waziri huyu alianza kuumwa akiwa
kwenye ndege akitokea Marekani ambapo kwenye ndege hiyo inadaiwa alikula
kitu ambacho hatakiwi kula kwa sababu kina mdhuru.
No comments:
Post a Comment