Haya ndio ya H Baba kwa mashabiki wa mastaa wa muziki Tz, Ali Kiba na Diamond Platnumz…

Ujumbe huo unasomeka hivi ;‘Mie nawakubali wote kila mmoja ana ladha yake kwenye muziki wa #bongoflava chamsingi tuwapeni Saport kwenye show ya jumamosi pale uwanjani leaders Club pia kwenye Kazi zao#Sio kuzomea haipendezi kabisa wala Sio Upendo tulionao watanzania #wote wanafanya Kazi nzuri kila mmoja ana mashabiki wake kelele za nini waacheni wafanye Kazi nzuri ili walitangaze taifa letu la #Tanzania nje ya tanzania uko kwenye upinzani Sio nyumbani? NAWATAKIA show NJEMA jumamoc iwe naamani mashabiki wote wa #KIBAna #dai’— @h_baba123
No comments:
Post a Comment