Tuesday, January 20, 2015

Umeisikiliza single mpya ya staa wa kike wa filamu aliyomshirikisha A.T ? iko hapa



.
.
Msanii wa kike wa filamu, Flora Mvungi time hii ameingia  pia kwenye tasnia ya Bongo Fleva ambapo leo ameachia single yake mpya iitwayo Mkazurure aliyomshirikisha A.T na kutayarishwa na producer Fraga kutoka Uprise Music.
Isikilize hapa mtu wa nguvu kisha usisahau kuniandikia ya moyoni ili Flora Mvungi na A.T wakipita hapa wasome kutoka kwa watu wao wa nguvu..

No comments:

Post a Comment