Diamond Platnumz ametaja tarehe atakayoonekana sura mtoto wake (Tiffah)
Kama umekua ukifuatilia akaunti za
Diamond Platnumz na mpenzi wake
Zari tangu mtoto wao
Tiffah
azaliwe utakua umekutana na picha nusu ambayo anaonekana mtoto wao huyo
na sehemu kubwa hua ni kuanzia kwenye kidevu kushuka chini.

Hii
imekua ni style nyingine ya mastaa wetu kadhaa kuchukua mfumo huu wa
kutowapost au kuwaonyesha watoto wao hadi umri fulani ufike,
Diamond Platnumz leo ametaja siku ambayo mtoto wao huyo ataonekana sura kwa wale ambao bado hawajapata nafasi ya kumuona.
By
Prince Alpha.
No comments:
Post a Comment