Sunday, September 13, 2015

Pichaz za Birthday Party ya Ommy Dimpoz wakiwemo na mastaa mbalimbali

By
Alpha Msigwa
on
.
.
Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, Unaambiwa msanii Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ambaye usiku wa Sept 13,2015 alishea siku yake ya kuzaliwa na watu mbalimbali wakiwemo mastaa wengi kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva, kiukweli ilipendeza sanae.
Unaweza kucheki pichaz ambazo mtu wako wa nguvu nimekusogezea uzicheki na usipitwe pia.
.
.
.
.
.
.
.
Pichani:Mwanasheria Alberto Msando akiwa na mwigizaji Elizabeth Michael
.

No comments:

Post a Comment