Historia ya maisha ya Didier Drogba sasa kupatikana kwenye kitabu…


Akiwa na miaka yake 37 mshambuliaji huyo ameahidi kutoa kitabu hicho ambacho kitazungumzia pia na maisha yake akiwa Ufaransa, umuhimu wa elimu, jinsi ya kutafuta mafanikio katika maisha.
No comments:
Post a Comment