Itazme na hii mpya kutoka kwa Taylor Swift; ‘Wildest Dreams’ – (Video).
Baada ya kufanya show kali ya ufunguzi kwenye tuzo za
MTV VMA’s 2015, Taylor Swift hajaona sababu ya kuishia hapo,
Taylor karudi na hii mpya mtu wangu inaitwa
‘Wildest Dreams’, wimbo huu unapatikana kwenye Album yake mpya
‘1989’.

Kama video ya wimbo huu bado haijakufikia karibu utizame hapa chini.
No comments:
Post a Comment