Baada ya Wema kudaiwa kumfanyia Diamond fujo studio, leo kaweka hii picha.
Kupitia Kipindi cha HOT SHOW HIGHLANDS FM [92.7]March 14 2014 zilitoka stori
kwamba Wema Sepetu amekwenda na kumfanyia fujo Diamond Platnumz studio.
Hiyo ilitokana na kuona video ya Diamond akiwa na Victoria Kimani studio, msichana ambae amewahi kutajwa kuwa mapenzini nae. STORY BY PRINCE ALPHA.
No comments:
Post a Comment