(Photo’s) The Making Of Music Video NITAFURAHI kutoka kwa NEYCOMS
Ni msanii mchanga katika game hili la Bongo Fleva na jina lake la
kisanii anaitwa NEYCOMS anatarajia kuachia video yake mpya aliyoipa jina
la NITAFURAHI ikiwa imesimamiwa na kampuni ya URBAN VIDEOS na hizi ndio
baadhi ya picha zilizopigwa wakati wakishoot video hiyo.
No comments:
Post a Comment