BASI LAYANGA LATAKA KUMWAGA WATU PICHA NA PRINCE ALPHA
Bus la timu ya Young Africans lililokuwa limebeba wachezaji pamoja na
viongozi wa benchi la ufundi limepata ajali eneo na Mikese Mizani baada
ya Mabus yaliyokua...yakitanua kuelekea mikoa ya bara kuziba njia na kusababisha kutumbukia kwenye mtaro.
Katika ajali hiyo iliyotokea majira ya saa tatu na nusu asubuhi hakuna
mtu yeyote aliyejeruhiwa na kwa sasa timu inaondoka na usafiri wa bus
jingine kuelekea jijini Dar es salaam BY PRINCE ALPHA.
No comments:
Post a Comment