Saturday, August 30, 2014
Friday, August 29, 2014
OHOOO! Siku chache baada ya ndoa ya Legendary wa Bongo Fleva,
Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ na mtangazaji mahiri nchini, Gardner
Gabriel Habash ‘G Habash’ kudaiwa kuvunjika, gumzo limeibuka kufuatia
kunaswa kwa picha za Jide na kijana mmoja (dogodogo) aliyetajwa kwa jina
la Meddy Ahmed ‘Mtoto wa Vitoto’, Risasi Jumamosi linakupa kinaga
ubaga.

TUJIUNGE NA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo makini, Mtoto wa Vitoto huyo amekuwa na urafiki uliotukuka na Jide kwa muda mrefu kabla na baada ya mtafaruku wa ndoa ya Jide na mumewe Gardner hivyo kudaiwa kuwa ndiyo faraja ya mawazo ya mwanamuziki huyo hususan kipindi hiki cha changamoto ya mgogoro wa ndoa yake.

Chanzo
hicho kilizidi kumwaga data kuwa, ukaribu wa Jide na bwa’mdogo huyo
ulipitiliza kiasi cha watu wa karibu na staa huyo kuanza kuhisi huenda
wana uhusiano usiofaa.
“Ukaribu wao ulipitiliza hadi kila mtu wa karibu na Jide akautilia shaka, isitoshe kama unavyojua, Jide si mtu wa kuweka mambo yake hadharani. Mbaya zaidi Jide amekuwa akimposti dogo huyo kwenye mitandao yake ya kijamii,” kilisema chanzo hicho.

APEWA NAFASI YA TATU
Wakati paparazi wetu akiendelea kukusanya data kuhusiana na ishu hiyo, chanzo hicho kilizidi kushibisha maelezo yake kwa kusema Jide amekuwa akimwandika nambari tatu dogo huyo kwenye mitandao ya kijamii ambapo baadhi ya watu eti wanatafsiri kuwa, maana yake ni kwanza mumewe (Gardner), ya pili yeye (Jide) na ya tatu ni dogo huyo.

“Dogo
yuko sawa na Jide maana ukitaka kuamini fuatilieni kwa ukaribu mtawaona
tu hata katika mitoko ya Jaydee (Jide). Kuna picha kibao zipo kwenye
akaunti yake, dogo anaonekana akiwa kwenye ndinga (gari) la Jide ingawa dogo yuko makini kweli na suala hilo, nafikiri wamewekeana mikakati ya kuwa wa siri,” kilisema chanzo hicho.
PICHA ZATUA RISASI
Baada ya paparazi wetu kupewa mchongo huo, alianza kuzisaka picha hizo kupitia vyanzo vyake mbalimbali na kufanikiwa kuzidaka zikimuonesha bwa’mdogo huyo akijiachia juu ya ndinga inayodaiwa ni ya Jide katika pozi tofautitofauti.
Kama hiyo haitoshi, kupitia akaunti ya Jide ya Instagram, zilionekana picha tofauti za dogo huyo, ikiwemo ile ambayo aliiunganisha picha tatu tofauti, mbili za kwake na moja waliyokuwa ‘klozdi’ na Mtoto wa Vitoto.

JIDE ALIPOTAFUTWA!
Katika kutaka kujua ukweli wa ukaribu wa wawili hao na kufuatilia mwenendo mzima wa viwanja vyao vya starehe, paparazi wetu alimvutia waya Jide lakini simu yake haikupatikana hewani kwa siku tatu mfululizo.

DOGODOGO SASA
Baada ya Jide kutopatikana hewani, Jumatano iliyopita paparazi wetu alimtwangia simu Mtoto wa Vitoto ili kumsikia anauzungumziaje ukaribu wake na sista huyo ambapo baada ya kusomewa mkasa mzima, dogo alikata simu kwa madai kuwa sehemu aliyokuwa siku hiyo haikuwa nzuri na kuahidi kumpigia paparazi wetu baadaye lakini hakufanya hivyo hadi kesho yake (Alhamisi) alipopigiwa tena na gazeti hili na kupokea.

ADAI NI MARAFIKI
Huku akiashiria sauti ya kutojiamini, dogo huyo alisema yeye na Jide ni marafiki wakubwa katika mazingira ya kawaida, pia ni shabiki wake kama walivyo wengine ila ishu ya picha mtu yeyote anaweza kupiga.

Kuhusu
kuendesha gari linalodaiwa ni la Jide, dogo alisema hajawahi ila
ameshapiga nalo picha na mtu yeyote anaweza kufanya hivyo kama ana
uhusiano mzuri na mwanamuziki huyo.
“Jide ni rafiki yangu na mimi ni shabiki wake wa kawaida. Kwa hiyo hilo siyo tatizo lakini pia kuhusu gari mimi sijawahi kuendesha gari la Jide lakini nimewahi kupiga nalo picha kweli kama shabiki mwingine na hakuna shida, ila siyo wapenzi, ni marafiki tu,” alisema Mtoto wa Vitoto.

ATUMA UJUMBE WA MASIHARA
Baada ya kuzungumza hayo, Mtoto wa Vitoto alikata simu na baada ya dakika tatu alituma ujumbe mfupi wa maandishi (SMS) kwenye simu ya paparazi wetu uliosomeka hivi: “Acha kunizingua mwana.”
Paparazi wetu alipompigia simu kwa mara nyingine kutaka kujua alikuwa na maana gani, dogo huyo hakupokea simu na hata alipoandikiwa SMS kwamba atoe ufafanuzi kuhusu ujumbe wake huo, hakujibu chochote hadi gazeti hili linakwenda mitamboni.

MTOTO WA VITOTO NI NANI?
Mtoto wa Vitoto ni kijana wa mjini tu, si Mbongo Fleva wala si Mbongo Muvi ila inadaiwa kwa sasa anafanya shughuli zake mkoani Morogoro. Amewahi kuishi Magomeni, Dar ambapo kwa sasa anadaiwa kuhamia Kinondoni, Dar. Ana asili ya Zanzibar.

Monday, August 25, 2014
UKANJANJA! Jeshi la Polisi
wilayani Ikungi, Singida linamshikilia daktari anayedaiwa kuwa ni feki,
Prosper Samson (pichani) kwa madai ya kumtibu mgonjwa Jibuli Mahende,
mkazi Kijiji cha Iyumbu, Sepuka na kumsababishia kifo chake, Uwazi
linakupa mkasa huo kwa kina.
Bw.Prosper Samson anayedaiwa kuwa ni daktari feki, akiwa nyumbani kwake.
Habari zinadai kuwa, Jibuli alifariki dunia hivi karibuni baada ya kutibiwa na mtu huyo anayejiita daktari kutokana na kile kilichodaiwa kuwa alizidishiwa dozi kwa kuongezewa chupa tisa za maji ya drip sanjari na vidonge sita ambavyo havikujulikana jina mara moja.
Akizungumza kwa niaba ya mganga mkuu wa Wilaya ya Ikungi, mmoja wa madaktari wa wilaya hiyo, Philip Kitundu alisema tukio hilo lilitokea juzikati saa nne asubuhi kwenye vyumba maalum vilivyotengwa na daktari huyo kwa ajili ya kutolea huduma mbalimbali za matibabu.
“Baada ya kupewa taarifa za kifo hicho na utete wake, kesho yake tulikwenda kukagua duka la dawa la mtu huyo,” alisema daktari huyo.
Kwa mujibu wa daktari huyo, walipofika dukani kwa Prosper anayejitangaza kuwa ni daktari wa magonjwa ya binadamu, walilikagua na kugundua kuwa hakuwa na leseni kutoka Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) inayomruhusu kufanya biashara hiyo na alikiri kuwa hakuwa na cheti cha chuo chochote alichosomea udaktari.
“Hata tulipopekuwa dukani kwake tulikuta dawa ambazo haziruhusiwi kabisa kwenye maduka ya dawa muhimu, tulikuta dawa na sindano na dawa za vidonda. Alikuwa anawafunga vidonda watu, analaza na anatoa huduma za kujifungua kwa akina mama,” alifafanua daktari huyo.
YADAIWA NI MTU WA TATU KUFA
Daktari huyo wa wilaya aliongeza kusema kwamba katika ukaguzi huo walikuta pia dawa zilizokwisha muda wake wa matumizi na kuwa tukio la Jibuli kupoteza maisha ni la tatu kwa watu waliopatiwa matibabu katika duka hilo, wawili walifia nje ya duka.
MTUHUMIWA ATOA MAELEZO
Kwa upande wake daktari huyo anayedaiwa ni feki, licha ya kukiri kumpokea mgonjwa huyo akiwa na hali mbaya na kwamba baada ya kuchukua historia yake aligundua alikuwa akisumbuliwa na kifua na kabla ya kupelekwa kwake alianza matibabu kwa waganga wa tiba asilia.
“Walikuja kwangu ili wapate ushauri lakini jinsi nilivyomwona mgonjwa nikawashauri wafanye mikakati apelekwe sehemu nyingine kwani niligundua ana matatizo tangu Juni, mwaka jana,” alisema Prosper.
MTOTO WA MAREHEMU NAYE ANENA
Naye mtoto wa marehemu Jibuli aitwaye Jilala alisema siku ya tukio asubuhi alikwenda kumsalimia baba yake na kumkuta akiwa hoi, ndipo alipoamua kumpeleka kwenye duka hilo la dawa ambapo baada ya uchunguzi wa ‘daktari’ huyo aliambiwa baba yake alisumbuliwa na kifua, mgongo na kiuno.
“Baada ya dokta kunifahamisha ugonjwa unaomsumbua baba, niliondoka kurudi nyumbani kutafuta fedha za kumuondoa pale dukani ili kumpeleka Hospitali ya Mkoa wa Singida kwa matibabu zaidi,” alifafanua mtoto huyo.
Akaendelea: “Hata hivyo, kabla ya baba hajapoteza maisha alipokuwa dukani kwa dokta alipewa vidonge sita vya dawa ambazo sikufahamu zinatibu ugonjwa gani na ilipofika saa nne asubuhi alifariki dunia, nikamsusia na kuita watu kuja kuiona maiti ya baba.”
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, SACP Godfrey Kamwela amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

HISTORIA YA MAREHEMU
Kwa mujibu wa ndugu, marehemu alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kifua, kiuno na mgongo ambapo daktari huyo alimpa dawa hizo muda mfupi baadaye Jibuli alipoteza maisha akiwa kwenye duka la dawa, nyumbani kwa Prosper.
MGANGA MKUU WA WILAYA ASIMULIAKwa mujibu wa ndugu, marehemu alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kifua, kiuno na mgongo ambapo daktari huyo alimpa dawa hizo muda mfupi baadaye Jibuli alipoteza maisha akiwa kwenye duka la dawa, nyumbani kwa Prosper.
Akizungumza kwa niaba ya mganga mkuu wa Wilaya ya Ikungi, mmoja wa madaktari wa wilaya hiyo, Philip Kitundu alisema tukio hilo lilitokea juzikati saa nne asubuhi kwenye vyumba maalum vilivyotengwa na daktari huyo kwa ajili ya kutolea huduma mbalimbali za matibabu.
“Baada ya kupewa taarifa za kifo hicho na utete wake, kesho yake tulikwenda kukagua duka la dawa la mtu huyo,” alisema daktari huyo.
Kwa mujibu wa daktari huyo, walipofika dukani kwa Prosper anayejitangaza kuwa ni daktari wa magonjwa ya binadamu, walilikagua na kugundua kuwa hakuwa na leseni kutoka Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) inayomruhusu kufanya biashara hiyo na alikiri kuwa hakuwa na cheti cha chuo chochote alichosomea udaktari.
“Hata tulipopekuwa dukani kwake tulikuta dawa ambazo haziruhusiwi kabisa kwenye maduka ya dawa muhimu, tulikuta dawa na sindano na dawa za vidonda. Alikuwa anawafunga vidonda watu, analaza na anatoa huduma za kujifungua kwa akina mama,” alifafanua daktari huyo.
YADAIWA NI MTU WA TATU KUFA
Daktari huyo wa wilaya aliongeza kusema kwamba katika ukaguzi huo walikuta pia dawa zilizokwisha muda wake wa matumizi na kuwa tukio la Jibuli kupoteza maisha ni la tatu kwa watu waliopatiwa matibabu katika duka hilo, wawili walifia nje ya duka.
MTUHUMIWA ATOA MAELEZO
Kwa upande wake daktari huyo anayedaiwa ni feki, licha ya kukiri kumpokea mgonjwa huyo akiwa na hali mbaya na kwamba baada ya kuchukua historia yake aligundua alikuwa akisumbuliwa na kifua na kabla ya kupelekwa kwake alianza matibabu kwa waganga wa tiba asilia.
“Walikuja kwangu ili wapate ushauri lakini jinsi nilivyomwona mgonjwa nikawashauri wafanye mikakati apelekwe sehemu nyingine kwani niligundua ana matatizo tangu Juni, mwaka jana,” alisema Prosper.
MTOTO WA MAREHEMU NAYE ANENA
Naye mtoto wa marehemu Jibuli aitwaye Jilala alisema siku ya tukio asubuhi alikwenda kumsalimia baba yake na kumkuta akiwa hoi, ndipo alipoamua kumpeleka kwenye duka hilo la dawa ambapo baada ya uchunguzi wa ‘daktari’ huyo aliambiwa baba yake alisumbuliwa na kifua, mgongo na kiuno.
“Baada ya dokta kunifahamisha ugonjwa unaomsumbua baba, niliondoka kurudi nyumbani kutafuta fedha za kumuondoa pale dukani ili kumpeleka Hospitali ya Mkoa wa Singida kwa matibabu zaidi,” alifafanua mtoto huyo.
Akaendelea: “Hata hivyo, kabla ya baba hajapoteza maisha alipokuwa dukani kwa dokta alipewa vidonge sita vya dawa ambazo sikufahamu zinatibu ugonjwa gani na ilipofika saa nne asubuhi alifariki dunia, nikamsusia na kuita watu kuja kuiona maiti ya baba.”
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, SACP Godfrey Kamwela amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetoa onyo pamoja na kutoza faini ya takribani Sh milioni 5 kwa kituo cha redio na televisheni cha Clouds, kwa kukiuka kanuni za utangazaji za mwaka 2005.
Wakielezea
uamuzi huo jana jijini Dar es Salaam, Kamati ya Maudhui ya mamlaka hiyo
ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Margaret Munyagi ilisema kuwa ukiukwaji
wa kanuni hizo ulifanywa kwa nyakati tofauti na vituo hivyo.
Alisema
kwa upande wa kituo cha redio cha Clouds, kupitia kipindi chake cha
‘Njia Panda’ kilichorushwa hewani Juni 15 mwaka huu kati ya saa 8.00
mchana na saa 10.00 jioni kilikuwa na mada iliyohusu safari ya kuzimu
ambapo maudhui yake yalijaa simulizi za kufikirika, za kishirikina na
kichawi.
Aidha
alisema kosa lingine kituo hicho hakikufuata kanuni za
Utangazaji(maudhui) za mwaka 2005 zinazowataka kuwasilisha ratiba ya
vipindi vyao kwa TCRA ili viidhinishwe na vilevile kuvichapisha katika
gazeti kabla ya kurushwa hewani ambapo kipindi cha Njia Panda
hakikuwasilishwa kwa ajili ya kuidhinishwa.
Wakati
huo huo, kituo cha televisheni cha Clouds kilirusha kipindi cha ‘Bibi
Bomba’ Mei 16 na Juni 6 mwaka huu kati ya saa 3.00 na saa 4.00 usiku
ambacho kilikiuka kanuni za Utangazaji (maudhui) za mwaka 2005.
Alisema
kipindi hicho kilidhalilisha mabibi hao walioshiriki pamoja na wanawake
kwa ujumla kutokana na maswali ya aibu waliyokuwa wakiulizwa na waamuzi
wa shindano hilo ambayo ni kinyume na kanuni hizo.
Aidha
alisema kituo hicho kinatozwa faini ya Sh milioni moja na kutakiwa
kuwasilisha TCRA mwongozo wa kuchuja na kusimamia maudhui yasiyofaa
kabla ya kutangazwa.
TCRA imesema kama Kanuni za Utangazaji zitaendelea kukiukwa hatua kali zaidi za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Epl: Matokeo na wafungaji wa mechi ya Liverpool vs Man City haya hapa

Wakati wakimtambulisha Mario Balotelli kuwa mchezaji wao mpya, klabu ya Liverpool leo ilikuwa wageni wa Manchester City katika dimba la Etihad kwenye mchezo wa ligi kuu ya England.
Wakiuanza mchezo huo kwa kasi Liverpool imejikuta ikifungwa magoli 3-1 na City.
Huku Balotelli akiwa jukwaani akiangalia timu yake ya zamani ikitoa kipigo hicho kwa Liverpool, walikuwa ni Stevan Jovetic aliyefunga magoli mawili na Sergio Kun Arguero waliopeleka kilio Anfield.
Goli la kujifunga la Zabaleta likawafuta machozi vijana wa Brendan Rogers.
Mpaka filimbi ya mwisho matokeo yalikuwa 3-1.
Zile picha za harusi ya Jaguar, hii ndiyo video yenyewe

Saturday, August 23, 2014
DIEGO COSTA AENDELEA KUNG'ARA CHELSEA, APIGA TENA BAO THE BLUES IKIUA 2-0 ENGLAND
MSHAMBULIAJI Diego Costa ameendelea kung’ara Chelsea baada ya jioni hii kuiwezesha The Blues kushinda mechi ya pili mfululizo Ligi Kuu ya England kwa kuichapa Leicester City mabao 2-0 Uwanja Stamford Bridge.
Costa alifunga bao la kwanza dakika ya 62, kabla ya
Eden Hazard kufunga la pili dakika ya 77. Diego Costa alimpisha mkongwe Didier Drogba dakika ya 80 huku akipigiwa makofi wakati anatoka nje.
Kikosi cha Chelsea kilikuwa; Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Matic, Fabregas, Oscar/Willian dk70, Hazard, Schurrle/Ramires dk64 na Costa/Drogba dk80.
Leicester City; Schmeichel, De Laet, Konchesky, Morgan, Hammond/Taylor-Fletcher dk73, King, Schlupp, Mahrez/Albrighton dk68, Nugent na Ulloa/Wood dk84.

![]() |
Diego Costa ameendelea kung'ara Chelsea akifunga katika ushindi wa 2-0 leo |
Kikosi cha Chelsea kilikuwa; Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Matic, Fabregas, Oscar/Willian dk70, Hazard, Schurrle/Ramires dk64 na Costa/Drogba dk80.
Leicester City; Schmeichel, De Laet, Konchesky, Morgan, Hammond/Taylor-Fletcher dk73, King, Schlupp, Mahrez/Albrighton dk68, Nugent na Ulloa/Wood dk84.
FIGO AWAPA RAHA WATANZANIA REAL MADRID IKIIFUMUA TANZANIA MABAO 3-1 MBELE YA JK
Na Prince Alpha, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI Reuben de La Red amefunga mabao matatu peke yake, magwiji wa Real Madrid wakiiangusha Tanzania Eleven 3-1 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
De la Red alimfunga bao moja Mwameja Mohamed kipindi cha kwanza na kipindi cha pil akamtungua mara mbili Manyika Peter, wakati bao pekee la Stars, Real walijifunga wenyewe kupitia kwa Roberto Rojas.
Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete alimkabidhi mpira De La Red baada ya mechi kabla ya kuwakabidhi Kombe Real Madird kwa ushindi huo.
Katika mchezo huo, ambao wachezaji waliingia na kutoka, Real Madird walikuwa wa kwanza kupata bao dakika ya 10, De La Red akimalizia pasi ya Luis Figo.
Mpira uliozaa bao hilo, ulianzia kwa kiungo Christian Karembeu, aliyezuia shambulizi la Tanzania na kuanzisha shambuizi zuri lililozaa matunda, akiuvuka msitu wa wachezaji wa wenyeji kwa umahiri mkubwa.
Tanzania Eleven ilisawazisha dakika ya 45 baada ya kona ya Mecky Mexime kuzua kizaa langoni mwa Real na Roberto Rojas akajifunga katika harakati za kuokoa baada ya Kali Ongala kuuparaza kwa kichwa.
Kipindi cha pili, De la Red alifunga bao kwa pili kwa penalti dakika ya 81 baada ya yeye mwenyewe kuchezewa rafu na Habib Kondo kwenye eneo la hatari.
Awali ya hapo, Figo alimtoka vizuri beki Mecky Mexime na kuingia hadi kwenye eneo la hatari akiwa kwenye nafasi ya kufunga akampasia De La Red ambaye alipiga nje.
De la Red alikamilisha hat trick yake dakika ya 88 baada ya kuwazidi maarifa mabeki wa Tanzania Eeleven.
Wachezaji wa timu zote mbili wanatarajiwa kula chakula cha usiku na Mheshimiwa Rais Ikulu baadaye.

Luis Figo akimtoka Athumani China |
![]() |
Beki wa Tanzania, Nsajigwa Shadrack kushoto akimtoka Fernando Sanz wa Real Madird |
![]() |
Reuben De La Red kushoto amefunga mabao matatu peke yake Real ikishinda 3-1 Uwanja wa Taifa |
Mpira uliozaa bao hilo, ulianzia kwa kiungo Christian Karembeu, aliyezuia shambulizi la Tanzania na kuanzisha shambuizi zuri lililozaa matunda, akiuvuka msitu wa wachezaji wa wenyeji kwa umahiri mkubwa.
Tanzania Eleven ilisawazisha dakika ya 45 baada ya kona ya Mecky Mexime kuzua kizaa langoni mwa Real na Roberto Rojas akajifunga katika harakati za kuokoa baada ya Kali Ongala kuuparaza kwa kichwa.
Kipindi cha pili, De la Red alifunga bao kwa pili kwa penalti dakika ya 81 baada ya yeye mwenyewe kuchezewa rafu na Habib Kondo kwenye eneo la hatari.
Awali ya hapo, Figo alimtoka vizuri beki Mecky Mexime na kuingia hadi kwenye eneo la hatari akiwa kwenye nafasi ya kufunga akampasia De La Red ambaye alipiga nje.
De la Red alikamilisha hat trick yake dakika ya 88 baada ya kuwazidi maarifa mabeki wa Tanzania Eeleven.
Wachezaji wa timu zote mbili wanatarajiwa kula chakula cha usiku na Mheshimiwa Rais Ikulu baadaye.
Friday, August 22, 2014
MWAMEJA NA MANYIKA WOTE WAKO SAWA, NANI ATASUBIRI KWA MWENZAKE leo?
Na Prince Alpha, DAR ES SALAAM
MAKIPA Mwameja Mohamed na Manyika Peter, wote wameonyesha wako vizuri kueleka mchezo wa kesho wa magwiji wa Tanzania, dhidi ya Real Madrid Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Katika mazoezi ya jana, makipa hao pekee katika kikosi hicho walionyesha umahiri wa uokoaji michomo ya aina tofauti- ingawa si kwa kiwango cha enzi zao wakitamba katika soka ya Tanzania.
Krosi, kona na mashuti vyote walicheza tena kwa mbwembwe- kuashiria kwamba wako tayari kuzuia michomo ya akina Luis Figo kesho Taifa.
Mjadala uliopo sasa, nani ataanza kati yao kesho- na hilo ni jukumu la makocha Charles Boniface Mkwasa na Wasaidizi wake, Freddy Felix Minziro na Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ kuamua.
Mwameja alimtangulia kipa mwenzake huyo uwanjani, akianza kutamba miaka ya 1980 hadi mwaka 2002 alipotungika daluga rasmi akiwa na Simba SC.
Manyika aliibuka mwishoni mwa miaka ya 1990 na akacheza hadi mwaka 2005 alipostaafu rasmi akiwa na Mtibwa Sugar ya Morogoro.
Enzi zao, wote walisifika kwa uchezaji wa penalti, Manyika akiwika Yanga SC na Mwameja Simba SC na kwa wakati tofauti, wote waliitwa Tanzania One wakiidakia Taifa Stars.
Mbali na Mwameja na Manyika, kikosi hicho pia kina mabeki Nsajigwa Shadrack, Mecky Mexime, Boniface Pawasa, John Mwansasu,
Abubakar Kombo, George Masatu, Habib Kondo,
Viungo Athumani China, Shaaban Ramadhani, Salvatory Edward, Sabri Ramadhani ‘China’, Yussuf Macho, Abdul Mashine, Abdul Maneno, Mao Mkami, Steven Nyenge, Madaraka Suleiman, Akida Makunda na Mtwa Kihwelo.
Washambuliaji ni Monja Liseki, Iddi Moshi, Dua Said, Emmanuel Gabriel, Said Maulid, Thomas Kipese, Nasor Mwinyi ‘Bwanga’, Edibilly Lunyamila, Mohamed Hussein ‘Mmachinga’, Clement Kahbuka, Madaraka Suleiman na Akida Makunda.

Ataanza, au atasubiri? Mwameja Mohamed akipanga mabeki baada ya kuokoa mazoezini jana |
![]() |
Ujuzi hauzeeki; Mwameja Mohamed akiwa amedaka shuti la chini jana Taifa |
Mjadala uliopo sasa, nani ataanza kati yao kesho- na hilo ni jukumu la makocha Charles Boniface Mkwasa na Wasaidizi wake, Freddy Felix Minziro na Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ kuamua.
Mwameja alimtangulia kipa mwenzake huyo uwanjani, akianza kutamba miaka ya 1980 hadi mwaka 2002 alipotungika daluga rasmi akiwa na Simba SC.
Manyika aliibuka mwishoni mwa miaka ya 1990 na akacheza hadi mwaka 2005 alipostaafu rasmi akiwa na Mtibwa Sugar ya Morogoro.
Enzi zao, wote walisifika kwa uchezaji wa penalti, Manyika akiwika Yanga SC na Mwameja Simba SC na kwa wakati tofauti, wote waliitwa Tanzania One wakiidakia Taifa Stars.
Mbali na Mwameja na Manyika, kikosi hicho pia kina mabeki Nsajigwa Shadrack, Mecky Mexime, Boniface Pawasa, John Mwansasu,
![]() |
Manyika Peter akiwa amedaka shuti jana mazoezini |
![]() |
Manyika akiwa amedaka jana mazoeizni |
![]() |
Mwameja baada ya kupangua shuti jana mazoezini |
Abubakar Kombo, George Masatu, Habib Kondo,
Viungo Athumani China, Shaaban Ramadhani, Salvatory Edward, Sabri Ramadhani ‘China’, Yussuf Macho, Abdul Mashine, Abdul Maneno, Mao Mkami, Steven Nyenge, Madaraka Suleiman, Akida Makunda na Mtwa Kihwelo.
Washambuliaji ni Monja Liseki, Iddi Moshi, Dua Said, Emmanuel Gabriel, Said Maulid, Thomas Kipese, Nasor Mwinyi ‘Bwanga’, Edibilly Lunyamila, Mohamed Hussein ‘Mmachinga’, Clement Kahbuka, Madaraka Suleiman na Akida Makunda.
![]() |
Manyika kulia akimuangalia Mwameja anavyodaka mazoezini jana Taifa |
KIKONGWE WA MIAKA 76 AAMUA KUJITENGENEZEA JENEZA LAKE MWENYEWE KWA SABABU YA UGUMU WA MAISHA
Bi
Scholastika Mhagama akiwa katika mlango wa nyumba yake.
———————
Na Oswald Ngonyani wa demashonews
– Peramiho.
– Peramiho.
Wahenga walisema ‘Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni;’ Jamii
inazidi kujawa na chuki naukatili ndani yake, imekuwa kawaida siku hizi
kusikia fulani kamuua fulani kwakisa kisichokuwa na maana.Maalbino wanakatwa viungo vyao kwa visingizio vya
kupata utajiri kwa watu wasiokuwa na huruma, watoto wadogo wananyimwa haki zao na kuwekwa ndani ya maboksi na wengine kuishi maisha yao katika uvunguza
kitanda yote haya ni mambo ya kutisha yanayotendeka katika jamii zetu.

Hali imekuwa tete amani na upendo vinazidi kuyeyuka
kama barafu, watu hawana utu tena, wamejivika ngozi za kondoo wakati mioyo yao ni ya Simba, hakuna tena roho ya huruma kwa wanadamu wa dunia ya leo.

Choo cha bibi Scholastika Mhagama
Jeneza la bibi likitolewa ndani kwake na wanachama wa Kombination Camp
Jeneza la Bi Scholastika Mhagama
Akielezea historia ya maisha yake Bi Scholastika
anasema alizaliwa akiwa na miguu yote lakini alipata bahati mbaya ya kugongwa
na nyoka alipokuwa darasa la pili hali iliyomfanya kukatwa mguu ili kuepusha
madhara mengine kama vile kifo. Hivyo maisha yake yalibadilika na tangu hapo
akawa mlemavu.

Hali hiyo ya
ulemavu lakini pia uzee alionao vimemfanya ashindwe kujihudumia kwa lolote
zaidi ya kupika tu. Hata hivyo anakosa mahitaji muhimu kama vile maji na chakula
hali inayomfanya alale na njaa kwa baadhi ya siku.

Kwa hali aliyo nayo ni wazi kuwa Bi Scholastika
anahitaji baiskeli ya miguu mitatu (wheel chair) ambaye itamwezesha kutembea
kwa kuwa hivi sasa anatambaa na kupata maumivu makali kutokana na nyama
iliyobakia kwenye nyonga baada ya kukatwa mguu.

Bi Scholastika anazidi kueleza kuwa kuna watu waliwahi
kufika kumuandikisha jina lake na kumuingiza katika orodha ya watu wanaostahili
kupata msaada lakini anasikia misaada inafika kwa jina lake lakini yeye
mwenyewe hajawahi kuipata.

Vipi kuhusu Sera ya Wazee?
Kwa mujibu wa Sera ya Taifa ya Wazee ya mwaka 2003
inaweka bayana kuwa suala la uzee na kuzeeka limekuwa lenye umuhimu mkubwa
ambapo karne ya ishirini imeshuhudia ongezeko kubwa la idadi ya wazee.

Kwa kurejelea takwimu zilizopo ni kwamba, ifikapo
mwaka 2050 idadi ya wazee wenye umri wa zaidi ya miaka 60 nchini hapa
itaongezeka na kufikia wazee milioni 8.3 (Sawa na asilimia 10 ya watanzania
wote)

Kama hiyo haitoshi, Taarifa ya Umoja wa Mataifa ya
mwaka 1999 inaeleza kuwa kumekuwa na ongezeko kubwa la idadi ya wazee duniani
na kwamba ongezeko hilo linaonekana zaidi katika nchi zinazoendelea (Tanzania
ikiwepo) ambapo viwango vya ongezeko hilo havilingani na uwezo wa rasilimali
zilizopo za kuwahudumia.

Rasilimali hizo zinajikita zaidi katika Nyanja za
msingi katika makuzi ya binadamu yoyote zikiwemo Nyanja za afya, lishe na
huduma nyingine za msingi zisizoweza kuepukwa na binadamu yeyote.

MFANYAKAZI WA HOSPITALI YA PERAMIHO SONGEA AJINYONGA
Mwili wa Fredrick Mgaya (60) ukiwa unaning’inia katika mtu aliojinyongea , Tunaomba radhi kwa picha hii.
————————–
Na Mwandishi wetu Peramiho - Songea
Mwanaume mmoja Fredrick Mgaya
(60), mkazi wa Peramiho, Songea mkoani Ruvuma amejinyonga usiku wa kuamkia leo
katika maeneo yaliyo karibu na viwanja vya michezo vya Abasia kijijini
Peramiho.

Mwanaume huyo aliyekuwa
akifanya kazi kitengo cha maabara katika Hospitali ya Peramiho na kustaafu
mnamo mwezi aprili mwaka huu amekutwa amejinyonga majira ya asubuhi ya leo.

Marehemu Fredrick Mgaya amekutwa na
ujumbe katika mfuko wa shati lake, ulioelezea chanzo kilichopelekea yeye
kujitoa uhai.

Afande Allen Urio ambaye alikuwa mmoja wa
mashuhuda wa kwanza,anasema “ Nilikuwa natoka lindo asubuhi ndipo nikakuta
kundi la wanafunzi wa shule ya msingi wakiwa njiani, nikawauliza kwanini
wamesimama badala ya kwenda shule muda ule, ndipo waliponiambia kuna mtu
ananing’inia kwenye mti pale. Nilipofika kwenye mti huu ndipo nilipomkuta mzee
wetu Fredrick Mgaya akiwa ameshapoteza maisha.

Ni tukio la kusikitisha sana
kwani ni mzee wetu katika jamii ambaye tulikuwa tunaishi naye vizuri. Mbali na
migogoro yake na mkewe lakini uamuzi aliouchukuwa unasikitisha na si mzuri
kabisa. Kama mlinda amani katika jamii napenda kuwaasa wananchi wajaribu
kutafuta suluhu ya matatizo kwa namna nyingine na sio kwa kujitoa uhai”

Akiongea Hakimu wa mahakama ya mwanzo kijijini
Peramiho bi Maria Sambo amesema, ameshaletewa na kusuluhisha migogoro ya ndoa
hiyo ya marehemu mara mbili na hadi sasa kuna kesi inayoendelea katika mahakama
ya Hakimu mkazi, lakini kwa hali ya
kawaida hakudhani kwamba marehemu Fredrick Mgaya angefikia hatua hiyo ya

Nao mashuhuda wa tukio hilo wakiongea
kwa masikitiko, wengi wamelaani uamuzi uliofikiwa na mzee Mgaya kwani ni
dhahiri alikuwa ni mtu wa watu na pia alikuwa ni tegemeo la familia yake ambayo
amewaacha ghafla. Uamuzi ambao umesababisha maumivu kwa wanajamii hususan
ndugu, jamaa pamoja na marafiki wengi waliokuwa wakimpenda na kushirikiana naye
kwa mambo mengi ya kimaisha.

Mwenyekiti wa kijiji cha Peramiho
A Bwana Joseph Ngonyani ameonesha masikitiko yake ya dhati kwa kuondokewa na
moja ya wazee aliokuwa akiwategemea kwa ushauri katika kijiji chake. “Tukio
hili linagusa sana unajua, kwasababu linahusu mtu wa karibu sana na ambaye
tunashinda nae siku zote bila kujua nini kinamsibu na nini anakipanga katika akili yake”.

Ndoa nyingi sana zinasumbuliwa na
migogoro ya hapa na pale, hivyo ni vizuri watu wa ustawi wa jamii na asasi
zinazohusiana na jamii kujaribu kutoa mafunzo na maelekezo ya jinsi ya kutatua
migogoro hiyo ili kuepusha adha kama hii isijitokeze tena ndani ya jamii
yetu.Alisema mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo bwana Ignasi Kapinga.

Winfried Thadei Mgaya, mdogo wa marehemu
anasema, amepokea tukio hilo kwa mshtuko na kwa majonzi sana. Anapata uchungu
sana juu ya msiba wa kaka yake kwani marehemu ameacha watoto wanne ambao bado
ni tegemezi pamoja na mjane. Pia amesema mazishi yatafanyika tarehe 7
jumamosi kijijini kwao Madaba, Songea
mkoani Ruvuma.Habari kwa hisani ya Demashonews

FIGO: NJOONI MUONE VITU VYANGU KESHO TAIFA, KAREMBEU ASEMA ATAMPA MAPANDE YA KUMWAGA AWABURUZE WATANZANIA
Home
»
Unlabelled
» FIGO: NJOONI MUONE VITU VYANGU KESHO TAIFA, KAREMBEU ASEMA ATAMPA MAPANDE YA KUMWAGA AWABURUZE WATANZANIA
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
MWANASOKA bora wa zamani wa dunia, Luis Figo ameahidi burudani nzuri ya soka kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati magwiji wa Real Madrid ya Hispania watakapomenyana na magwiji wa Tanzania katika mchezo wa kirafiki.
Akizungumza na Waandishi wa Habari mchana huu katika hoteli ya Southern Sun, Dar es Salaam, mshindi huyo wa Ballon d’Or mwaka 2000, aliyestaafu Mei 31 mwaka 2009, amesema kwamba Watanzania watafurahia kazi yake uwanjani kesho.
Figo aliyepiga tuzo mbili mfululizo mwaka 2000, Mwanasoka Bora Ulaya na Dunia, amewaomba wapenzi wa soka Tanzania kujitokeza kwa wingi kesho kushuhudia burudani.
“Ni mara yangu ya kwanza kuja Tanzania, nimekwishatembea nchi kadhaa Afrika, nimefurahi kuja hapa, naipenda Afrika. Natarajia mchezo mzuri kesho, hata kwa wapinzani wetu pia, kitu muhimu ni kwamba FIFA imefurahia tukio hili,”alisema Figo.
Kwa upande wake, mwanasoka bora wa Oceania mara mbili 1995 na 1998, Christian Karembeu aliyeshinda Kombe la Dunia na Ufaransa mwaka 1998, amesema kwamba atampa pasi nyingi kesho Figo afanye vitu vyake.
Beki wa zamani wa kimataifa wa Hispania, Fernando Sanz Duran ni miongoni mwa wanasoka watatu waliowika Real Madrid muongo uliopita waliofika jana usiku, ambaye pia alikuwepo kwenye mkutano wa leo.
“Nimefurahi kuja Tanzania, ni mara yangu ya kwanza, Watanzania watarajie burudani nzuri kutoka kwetu na wapinzani wetu,”alisema Sanz huku akimgusa begani, kocha Msaidizi wa Magwiji wa Tanzania, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’.
Mshambuliaji wa zamani wa kimataifa wa England, Michael Owen aliyeshinda tuzo ya mchezaji bora chipukizi Kombe la Dunia mwaka 1998 Ufaransa, anatarajiwa kuwasili katika kundi la mwisho la Magalactico hao jioni ya leo.
Mkurugenzi wa makampuni ya Tanzania Sisi ni Nyumbani (TSN), Farough Baghozah ambao ndiyo wanawaleta magwiji hao nchini, amesema maandalizi yote yamekamilka na Watanzania wajitokeze kwa wingi Taifa kesho.
Magalactito wa Real wamefikia katika hoteli ya Ladger Plaza, Bahari Beach wakati timu ya Tanzania imeweka kambi Kariakoo, Dar es Salaam kikiendelea na mazoezi Uwanja wa Taifa.
Kikosi hicho kinaundwa na makipa maarufu waliowahi kuwika nchini, Mwameja Mohamed na Manyika Peter, mabeki Nsajigwa Shadrack, Mecky Mexime, Boniface Pawasa, John Mwansasu,
Abubakar Kombo, George Masatu, Habib Kondo,
Viungo Athumani China, Shaaban Ramadhani, Salvatory Edward, Sabri Ramadhani ‘China’, Yussuf Macho, Abdul Mashine, Abdul Maneno, Mao Mkami, Steven Nyenge, Madaraka Suleiman, Akida Makunda na Mtwa Kihwelo.
Washambuliaji ni Monja Liseki, Iddi Moshi, Dua Said, Emmanuel Gabriel, Said Maulid, Thomas Kipese, Nasor Mwinyi ‘Bwanga’, Edibilly Lunyamila, Mohamed Hussein ‘Mmachinga’, Clement Kahbuka,
Madaraka Suleiman na Akida Makunda.
Benchi ka Ufundi, ni Kocha Charles Boniface Mkwasa ‘Master’ na Wasaidizi Freddy Felix Minziro na Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, Daktari Mwanandi Mkwankemwa na viongozi Mtemi Ramadhani, Hassan Mnyenye, Omar Gumbo na Hamisi Kisiwa.
Katika ziara hiyo, pamoja na kucheza mchezo wa kirafiki na kikosi maalum cha wachezaji nyota wa Tanzania Agosti 23, pia watafanya utalii katika vivutio mbalimbali, ikiwemo kupanda mlima Kilimanjaro.

Njooni muone kazi; Figo wa pili kushoto akizungumza na Waandishi wa Habari leo Dar es Salaam |

Karembeu kulia na Figo kushoto wakifurahi na Mkurugenzi wa Makampuni ya TSN, Farough Baghozah |
![]() |
Kutoka kushoto Fernando Sanz, Karembeu, Figo na Farough |
Kikosi hicho kinaundwa na makipa maarufu waliowahi kuwika nchini, Mwameja Mohamed na Manyika Peter, mabeki Nsajigwa Shadrack, Mecky Mexime, Boniface Pawasa, John Mwansasu,
Abubakar Kombo, George Masatu, Habib Kondo,
Viungo Athumani China, Shaaban Ramadhani, Salvatory Edward, Sabri Ramadhani ‘China’, Yussuf Macho, Abdul Mashine, Abdul Maneno, Mao Mkami, Steven Nyenge, Madaraka Suleiman, Akida Makunda na Mtwa Kihwelo.
Washambuliaji ni Monja Liseki, Iddi Moshi, Dua Said, Emmanuel Gabriel, Said Maulid, Thomas Kipese, Nasor Mwinyi ‘Bwanga’, Edibilly Lunyamila, Mohamed Hussein ‘Mmachinga’, Clement Kahbuka,
Madaraka Suleiman na Akida Makunda.
Benchi ka Ufundi, ni Kocha Charles Boniface Mkwasa ‘Master’ na Wasaidizi Freddy Felix Minziro na Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, Daktari Mwanandi Mkwankemwa na viongozi Mtemi Ramadhani, Hassan Mnyenye, Omar Gumbo na Hamisi Kisiwa.
Katika ziara hiyo, pamoja na kucheza mchezo wa kirafiki na kikosi maalum cha wachezaji nyota wa Tanzania Agosti 23, pia watafanya utalii katika vivutio mbalimbali, ikiwemo kupanda mlima Kilimanjaro.
MSAFARA WA MWISHO WA REAL MADRID ULIVYOTUA DAR, KESHO TAIFA PATAPENDEZA
Home
»
Unlabelled
» MSAFARA WA MWISHO WA REAL MADRID ULIVYOTUA DAR, KESHO TAIFA PATAPENDEZA
![]() |
Msafara wa mwisho wa Real Madrid baada ya kuwasili Dar es Salaam jioni ya leo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya magwiji wa Tanzania Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. |
![]() |
Kesho Taifa patapendeza |
![]() |
Magwiji wa Real wakisubiri usafiri kuelekea Bahari Beach |
![]() |
Wanaelekea kwenye basi la Azam FC kwa safari ya hotelini |
![]() |
Watu walijitokeza kuwapokea |
Subscribe to:
Posts (Atom)