Friday, August 22, 2014

MSAFARA WA MWISHO WA REAL MADRID ULIVYOTUA DAR, KESHO TAIFA PATAPENDEZA

Msafara wa mwisho wa Real Madrid baada ya kuwasili Dar es Salaam jioni ya leo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya magwiji wa Tanzania Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Kesho Taifa patapendeza
Magwiji wa Real wakisubiri usafiri kuelekea Bahari Beach
Wanaelekea kwenye basi la Azam FC kwa safari ya hotelini
Watu walijitokeza kuwapokea

No comments:

Post a Comment