Zile picha za harusi ya Jaguar, hii ndiyo video yenyewe
Ulipata
nafasi ya kuona picha ambazo zilipata uvumi kwamba msanii Jaguar ameoa
lakini zilikuwa ni sehemu ya video yake mpya. Wimbo huu unaitwa One
centimenter na video imetoka leo 25/8/2014.
No comments:
Post a Comment