
Jokate aliwahi kukiri kwenye exclusive na
prine alpha kwamba aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na
Diamond
kwa muda usiozidi miezi miwili ambapo wakati yuko na Diamond zilitoka
stori nyingi pia kuhusu uhusiano wa Wema na Jokate kuingia matatizoni.
Ni stori ambazo ziliandikwa sana na inawezekana mpaka leo watu
wengine walikua wanaamini Jokate na Wema hawawezi kukaa meza moja ila
Aug 9 2014
Wema Sepetu baada ya kuwasili Mwanza kwa ajili ya show ya Serengeti Fiesta 2014 baadae CCM Kirumba amepost hii picha.

Wakiwa kwenye ndege ya Fastjet Wema na Jokate wakitokea Dar es salaam walipiga selfie ambayo Wema ameipost kwenye
instagram page yake na kuandika hayo maneno hapo chini akimaanisha wako poa sasa hivi.
No comments:
Post a Comment