Saturday, August 9, 2014
RPC Njombe apata ajali bodyguard afariki papo hapo, RPC na Dereva wake wako hospitali kwa matibabu. Walikuwa wakitokea Makambako kwenda Njombe yapata usiku wa saa 5. Mungu amlaze mahali pema H580 Pc Geoge, Amen!
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment