Sunday, November 24, 2013

Baada ya mahusiano yao kuongelewa sana Kwenye
Mitandao hatimaye Peter Okoye wa P-Square Amefunga ndoa na mchumba wake wa muda Mrefu anayejulikana  kwa jina la Lola....Congrats Bro.....
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUPITIA alpha msigwa@gmail.com

No comments:

Post a Comment