BREAKING NEWS: Rankim Ramadhan Nyamkah maarufu
kama DJ Rankim amefariki dunia jioni hii katika Hospitali ya
Mwananyamala Jijini DSM.Enzi za uhai wake alijipatia umaarufu mkubwa
nchini kutokana na umahiri wa kazi yake ya U-Dj MATUKIO YOTE YAKIRATIBIWA NA PRINCE ALPHA R I P DJ RANKIM.
No comments:
Post a Comment