Kwa
wanafamilia wa uwemba sec na watanzania kwa ujumla tumepata habari co
nzur sana kuwa kuna mwanafunzi wa kidato cha nne(anaendelea na mtihan au
amemaliza )wa kiume ametumbukia ktk bwama la kuzalisha umeme uwemba na
hadi giza linaingia alikua hajaonekana,tumwombe Mungu amwepushe na
lolote baya by ALPHA MSIGWA.
No comments:
Post a Comment