Tuesday, November 12, 2013

Hebu wazia; wewe ni mpiga picha umebahatika kuokota milioni 200 baada ya majambaz kukimbizwa na polisi na kuzidondosha. Ukakimbilia kijijini kwenu na kuwapa wazazi wako mil 5 tu, zingine ukatafuta sehem ili uzifiche. Kwa bahat ukaona mti mkubwa na kuzifukia chin, ili usisahau ukaamua kupiga picha mti, ukaenda mjini kusafisha picha, ulipo isafisha ile picha unaona juu ya mti kuna mtu anatabasamu...
UNGEFANYAJE USICHEKE NIPE JIBU!
HUYU NDO MPIGA PICHA  DAAAA????????? JAMAA KACHANGANYIKIWA KAWA CHIZI PALEPALE STORY BY ALPHA MSIGWA AKA THE PRINCE AKA AGP SAID PLAY BOY MWEMA.

No comments:

Post a Comment