Wednesday, November 13, 2013

STORY BY @alphamsigwa.blogspot.com 0764849514  'Wadada tupunguze kuigiza Maisha Jamani' . Me Napenda kujiita mtoto wa Mbwa sasa leo katika kusagura mitumba kwenye moja ya soko la mitumba nikijitafutia Maukali pembeni yangu kulikuwa na dada mmoja naye anasaula kutupa jicho vzr ni humu mjengoni Amepigwa na vumbi mpaka kope zimekuwa nyeupe =)) =)). Wakati siku zote najua yeye kwao mambo safi Bikini anafata china=)) =)) hajawahi tembea na miguu :> Sasa leo kwenye Sagura umepauka kama umetoka kuvuna Vitunguu ulikuwa unachagua nguo za dada wa Kazi ama=)) ukiona pic zake hakuna ya shida zoe starehe utazani kazaliwa mambele Skia acheni umbulula kama Msaga Dengu kwa Wahindi kama mm Jikubali pumbavuu #team Ngariba wa tabia#
MRS SAY NEVA NO!!!!!!!!!!!!!!   IM SO SORRY 4 THAT PHOT JUST MTAZAMO 2 ME ALPHA MSIGWA AKA AGP SAID PLAY BOY MWEMA. @alphamsigwa.blogspot.com 0764849514

No comments:

Post a Comment