Monday, November 11, 2013

LOVE STORY FROM 2 ALPHA Jamaa kakosea baada ya kutuma sms kwa hawara akatuma kwa mama mkwe ilikuwa inasema
MIMI NAKUPENDA NIMEVUMILIA NIMESHNDWA NIMEONA NIKWAMBIE YA MOYONI NAOMBA TUWE WAPENZI MKE WANGU HAWEZI KUJUA
wakati anatafakari atafanyaje likaja jibu kutoka kwa mama mkwe
NAMI NAKUPENDA UNGECHELEWA NINGE KWAMBIA MIMI MAANA HUWA UKIWA NA MWANANGU MI NDIO NADATA!
MPENZI LEO USIKU UJE.
Je Ungekuwa wewe Ungefanyaje?
UNANITEGA?????????????????? BY ALPHA MSIGWA AKA THE PRINCE AKA AGP SAID PLAY BOY MWEMA.

No comments:

Post a Comment