Tuesday, November 26, 2013


PICHA ZA P-SQUARE WALIVYO TUA DAR KWA AJILI YA SHOW YA KESHO Wanamuziki wa kundi la P-Square Peter na Paul baada ya kutua jijini Dar usiku wa kuamkia leo. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkrulu ambao ndio wadhamini wakuu wa onesho lao ambalo limeratibiwa na East Africa Radio na EATV. Hapa wakifanya mahojiano na kituo cha East Africa TV ambao ndio wenyeji wao.Vijana wakielekea kupumzika tayari kwa kazi ya kesho. MA2KIO YOTE NA PRINCE ALPHA.

No comments:

Post a Comment