Friday, July 25, 2014

SIMBA MBABE WA YANGA JE??? UBABE HUO UTAENDEREA MSIMU HUU????
                                 SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MASHUJAA WETU. 
              RIDHIWAN KIKWETE ATOA 

Thursday, July 24, 2014


Hizi picha si za kutunga wala nini jionee mwenyewe ufilauni huu wa kina dada wa vicheni pati, hiki kilifanyika huko buza maeneo ya abiola, tazama wadada walivyomwaga radhi


Tendo la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha lililo kuu kwa binadamu.Wakati tendo hilo kwa wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa,kwa upande wa binadamu ni zaidi ya kuzaa.Mapenzi au
tendo la ndoa ni sanaa hivyo inatakiwa ufundi na ubunifu ili kuweza kufurahia tendo hili.Yafuatayo ni maeneo 12 yenye msisimko na kama mwanaume utayashughulikia ipasavyo bila shaka mtafurahia uumbaji wake Mungu.
1. MIDOMO YAKE.
Tumia midomo yako,ulimi wako na meno yako kuchezea mdomo wake wa juu na wa chini na umbusu kwa msisimko mkubwa.Kunyonya ulimi pia huchangia kuongeza kasi ya mwanamke kwenda kileleni.(usafi wa kinywa kwa wote wawili ni muhimu).




2. UKE NA KINEMBE.
Tumia kidole chako cha kwanza cha mkono wa kulia polepole pitisha katika mfereji wa uke ukianzia chini (kutokea kwenye ******) ukipandisha juu,fanya hivyo mara kadhaa.Kutegemea umbo lako na urefu,unaweza kuchanganya zoezi hili na kunyonya matiti yake na hapo utaona upumuaji wake ukibadilika na majimaji yakiongezeka kwenye uke. Kwa kawaida kinembe cha mwanamke kimejificha lakini ukifanya vizuri zoezi la hapo juu na chenyewe kama uume kitajaa damu na kuinuka.Kinembe kipo juu kabisa ya mfereji wa uke na kina ukubwa wa harage au kwa wanawake wengine huwa kidogo zaidi.Tumia kidole chako cha kwanza na taratibu zungusha zungusha kidole juu ya kinembe,pandisha na kushusha kidole chako na hapo unaweza kumfikisha kwenye kilele cha utamu wa mapenzi hata kabla ya hujaiingiza uume. Wanawake wengi watafurahia ukitumia uume wako uliosimama vizuri kupigapiga eneo la kinembe nah ii huufanya uume kuwa wa moto na unapomwingilia joto la uume wako litafanya raha ya tendo hili kuwa kubwa zaidi.
Kinembe ndio sehemu ambayo kwa asilima 80 huhusika na kazi ya kumfikisha mwanamke kileleni na kwa kuwa kinembe kiko mbali kidogo toka kwenye tundu la uke,sio rahisi kwa uume kukifikia kinembe,hivyo mwanaume anatakiwa ajisukume kwa makusudi kabisa kwenda mbele ili shina la uumelisugue kinembe wakati wa kuingia na kutoka kwa uume.

3. MATITI YAKE.
Matiti yake ni sehemu muhimu sana kwa mwanamke kama ilivyo kwa uke wake.Utampatia raha kamili mwanamke kama utayapapasa papasa matiti yake,utayaminyaminya kwa upole wa kimahaba,utayalambalamba na kuyanyonya.

4. MASIKIO YAKE.
Wanawake wengi hupata burudani masikio yao yanapolambwa au kunyonywa au kupigwa busu.

5. SEHEMU YA NYUMA YA SHINGO
Tumia ulimi wako kulamba sehemu ya shingo yake kwa mwendo w kutekenya tekenya.Tumia ncha ya ulimi kutekenya tekenya kwa kufanya mduara na kuendelea kuchora mduara na kurudiarudia.

6. SEHEMU YA NYUMA YA GOTI.
Sehemu ya nyuma ya goti ina miishio mingi ya mishipa ya fahamu na utashangaa jinsi ammbavyo mwanamke atapata burudani kwa kuishughulikia vyema sehemu hii.

7. SEHEMU YA NDANI YA MAPAJA.
Tumia ubapa wa kiganja chake kupapasa kwa ulaini sehemu ya ndani ya mapaja yake,fanya hivyo juu juu huku ukimbusu busu mapaja yake.

8. ****** YAKE.
Wanawake wengi wanapenda ****** yao yachezewe kimahaba,anza kwa kuyapapasa papasa,endelea kwa kuyaminya minya kwa kutumia vidole.

9. MIISHO YAKE.
Miguu yake imejaa miishio ya mishipa ya fahamu kiasi ambacho baadhi ya wanawake wanaweza kufika katika kilele cha burudani ya tendo la ndoa kwa miguu yao kusuguliwa na kupapaswa.

10. USO WAKE.
Mwanamke atafurahi sana utakaposhika uso wake katika hali ya mahaba na huku ukitabasamu.Wakati ukifanya hivyo unaweza kumbusu midomo yake,mashavu na kwenye paji la uso.

11. HIPS ZAKE.
Sehemu hii ni moja ya sehemu ambazo zitamfanya mwanamke ajisikie amekubalika kabisa iwapo utashika wakati wa tendo la ndoa.
                                         

12. G-SPOT
Sehemu hii iko ndani ya uke ambayo inapata hisia kubwa sana ikibonyezwa bonyezwa,sehemu hii ipo sentimeta 5 kutoka mlango wa uke na iko katika ukuta wa juu wa uke.Sehemu hii ikibonyezwa na kuchezewa ipasavyo mwanamke anaweza akapiz mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja.Hii ni njia rahisi ya kumfikisha mwanamke kileleni,mwanaume aingize kidole kwenye uke na kubonyeza na kusugua sehemu ya juu ya uke,sehemu hii imekaa kama sponji na huwa ngumu kwa kadiri inavyobonyezwa.Mwanamke anaweza kujisikia kama anataka kukojoa kabisa na hawezi kukojoa ila raha atakayopata ni kubwa sana.

NB.Ni muhimu kutambua kuwa sehemu hizi 12 sio kama msarafu,hutofautiana kutoka mtu na mtu.Suala lililo muhimu sana ni wawili wapendanao kuwa wawazi na wawe na uhuru wa kuambiana jinsi wanavyojisikia.
TETESI ZA SOKA ULAYA
Liverpool wapo tayari kumfuatilia tena Ryan Bertrand, 24, kutoka Chelsea, wakati Brendan Rodgers akisaka beki wa kushoto (Daily Mail) kiungo wa Borussia Dortmund Marco Reus, 25, na beki wa Southampton Dejan Lovren, 25, ni miongoni mwa wachezaji Brendan Rodgers anawafuatilia (Daily Mirror) Everton wanakaribia kumsajili Muhamed Besic, 21, kutoka Bosnia (Daily Mirror), Tottenham wanafikiria kumtaka beki Ron Vlaar, 29, wa Aston Villa, na wapo tayari kubadilishana na Lewis Holtby au Michael Dawson (Daily Mail), Chelsea wanamfuatilia kwa karibu beki Rafael Varane kutoka Real Madrid (Independent), Liverpool wana matumaini ya kuuteka mchakato wa uhamisho wa kiungo wa Juventus Arturo Vidal, 27, kwa kutoa dau la pauni milioni 42.5 walizotoa Manchester United (Metro), meneja wa Everton Roberto Martinez amethibitishwa kuwa anakaribia kumsajili David Henen, 18, kutoka Anderlecht (Talksport), AC Milan wanamfuatilia mshambuliaji wa Arsenal, Joel Campbell, 22, na tayari wamewasiliana na klabu hiyo ya London (Inside Futbol) Louis van Gaal anakabiliwa na mtihani mgumu baada ya Borussia Dortmund kumuonya kuwa asahau kumsajili Mats Hummels, 25 (Daily Express), Manchester United 'wameruhusiwa' kumsajili winga wa Real Madrid Angel Di Maria, 26, baada ya timu hiyo kumsajili James Rodriguez kutoka Monaco (Caughtoffside) hata hivyo taarifa nyingine zinasema Di Maria anataka kwenda PSG kwa mkopo kwanza kabla ya uhamisho wa kudumu msimu ujao (Daily Express), boss wa Chelsea Jose Mourinho amewaambia makipa wake, Thiabaut Courtois, 22, na Petr Cech, 32, kuwa hawaendi popote, watake wasitake (Times), Arsene Wenger yuko tayari kuacha kutafuta kiungo mwingine, na atamuamini Jack Wilshere, 22 (Daily Mirror), boss wa QPR, Harry Redknapp anataka kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Samuel Eto'o (Daily Mirror) Romelu Lukaku wa Chelsea, 21, anakaribia kuondoka Darajani baada ya kufanya mazoezi na klabu yake ya zamani Anderlecht (Sun). Tetesi nyingine kesho tukijaaliwa. Share hizi na wapenda soka wote. Cheers!!

Sakata la utupwaji miili ya binadamu, Daktari wa IMTU afichua kilichofanyika, "alifanya fitina"

Tukio la gari lilolobeba miili ya binadamu kukamatwa katika eneo la Bunju, Kinondoni, Dar es Salaam limevuta hisia za watu wengi huku jeshi la polisi likiwashikilia watu wanane wakiwemo madaktari wa hospitali ya IMTU.
Daktari wa IMTU ambaye hakutaka jina lake litajwe ameiambia Sunrise ya 100.5 Times kuwa kuna mtu ambaye alipewa kiasi cha shilingi milioni 4 ili akateketeze viungo hivyo na kwamba baada ya kulipwa pesa hiyo alifanya alichokijua tofauti na makubalino.
 “Kwa taarifa niliyonayo ingawa mimi sikumpa. Lakini kwa taarifa ni kwamba alipewa shilingi milioni 4 na akasema alienda kuviharibu. Kwa hiyo tulijua kwamba hiyo kazi ilitekelezwa vizuri kwa hiyo hatukuwa na wasiwasi wowote. Kumbe yeye badala ya kutumia hiyo hela kulipa maana kule Muhimbili wanalipa hela..” Amesema Daktari huyo.
Erick Martin, mtayarishaji wa kipindi cha Sunrise cha 100.5 Times Fm alimchimba daktari huyo kiudadisi akitaka kufahamu mtazamo wake kuhusu madaktari waliokamatwa kwa jinsi anavyolielewa tukio zima.
“Inaonekana miili ilitoka kwa hiyo bila shaka alipewa hiyo miili. Huenda sasa watu waliompa na hawa viongozi wa Muhimbili  wametiwa misukosuko naona wamelala rumande. Lakini mimi naona hawana kosa maana wamefanya kama inavyotakiwa, wao hawakujua kama viungo vitatupwa. Ila huenda kama walijua lakini sasa wanahojiwa na polisi na mimi siruhusiwi kuwepo au kuingilia…”
Amesema miili hiyo hupelekwa katika hospitali ambazo zinakifaa maalum cha kuteketeza bila kusababisha harufu yoyote na kwamba mtu aliyeamua kutupa wakati alilipwa alifanya fitina, “huyo aliyetupa alifanya kufuru yaani alifanya fitina.”
Daktari huyo ameeleza kuwa viungo hivyo vya miili ya binadamu hupatikana kutokana na miili ya marehemu ambao hawakutambulika na ndugu zao, lakini pia miili mingine hutolewa nje ya nchi ili kuondoa hali ya hisia za kuona viungo vya binadamu ambavyo ni vya watu wanaofahamika.
“Hizo maiti zinatumika kama vifaa vya kufundishia madaktari. Lakini hatuchukui maiti za hapa kwetu, tunachukua maiti kutoka nje ya nchi na za hapa ambazo labda kama zinapatikana zinapelekwa nchi zingine kwa ajili ya maadili. Haitakuwa vizuri kama mtu unaemfahamu kuona yuko huko anatumika kufundishia binadamu. Hiyo kutupa ndiyo imekosewa.” Ameeleza daktari huyo.
Amesema mbali na kupata maiti kutoka nje ya nchi, wapo watu wanaojitolea kama sadaka kuwa endapo watafariki  maiti zao zitumike kufundishia wanafunzi.
 


Uongozi wa Yanga umesema unaendelea kusubiri barua ya kutoka TFF inayowaeleza kuhusiana na ushiriki wao.
Katibu Mkuu wa Yanga, Beno Njovu amezungumza na SALEHJEMBE jioni hizi na kusema
Yanga bado itashiriki michuano hiyo.

“Watu wamekuwa wakitaka kujua kama tunashiriki au la, sisi bado ni washiriki.

“Hatujakaa kujadili suala la kujitoa au vingine, hivyo bado tunasubiri TFF watuletee barua, unajua suala la utaratibu ni zuri.

“Hatujui kama kuna utaratibu umebadilika, au uleule. Hivyo tunaamini barua itakuwa ni maelekezo mazuri.

“Kama ikifika mapema itakuwa vizuri pia kwa kuwa ndege tunayoitegemea zaidi ni Rwanda Air, hivyo tukipata barua mapema ambayo inatueleza viongozi wangapi, wachezaji wangapi, basi litakuwa jambo jema,” alisema Njovu na kuongeza.

“Nilisikia TFF wangeleta barua leo, lakini hadi naondoka ofisini jioni hii sikuona. Basi kama wamebanwa, wangeweza hata kututumia barua pepe ili tuwe na uhakika.

“Yanga na TFF ni taasisi kubwa, hivyo ni vizuri kufanya mambo kwa kufuata utaratibu na barua ni jambo zuri zaidi.
Miongoni mwa vitu vilivyokuwa vikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa bongo fleva wiki hii ni pamoja na kusikia kauli ya Alikiba kuhusu chanzo cha beef kati yake na msanii mwenzake Diamond Platnumz.
sporah n kiba
Kupitia kipindi cha The Sporah Show, kilichoruka July 22 Clouds TV, Alikiba amefunguka mambo mengi ikiwemo jinsi walivyofahamiana kwa mara ya kwanza, chanzo cha beef yao na wakoje hivi sasa. Kabla hujafahamu undani wa alichokizungumza, hizi ni facts chache alizozitoa Alikiba katika interview hiyo.

1.Alikiba ndiye alimpa ruhusa Bob Junior amrekodie Diamond nyimbo zilizomtoa kama ‘Kamwambie’ katika studio yao ya Sharobaro!

2.Alikiba alishirikishwa katika wimbo wa Diamond ‘Lala Salama’!

3. Alikiba ni shabiki wa nyimbo za Diamond hadi sasa!

4. Diamond aliomba ashirikishwe katika hit ya Alikiba ‘Single Boy’!

5. Alikiba ana watoto watatu, lakini hana uhusiano tena na mama zao



Asilimia kubwa ya kipindi ilihusu uhusiano wa Alikiba na Diamond, na hii ni sehemu ya maelezo ya Kiba.

Alikiba aliizungumzia sababu iliyozaa beef kati yake na Diamond, swali la Sporah lilikuwa kama Alikiba ana namba ya simu ya Diamond:
“Nilikuwa nayo kipindi fulani, nilipohisi amenikosea nikaona sina ulazima…kuna kipindi alinikosea kwasababu nilisikia amesema kwamba tulirekodi wote ile nyimbo ya ‘Single Boy’, na si kweli. Halafu anasema mimi ndio nilimfuta…
kwa kunikosea kwa Diamond nilihakikisha kutokana na mimi mwenyewe ndo nilifanya nyimbo yake ‘Lala Salama’ iko kwenye album yake, akanifuta nikahisi amenikosea sana nilichoimba mimi akawa ameimba yeye, alichonituma nifanye nimefanya kwa mapenzi yote, na mimi namsupport kila msanii wa Tanzania anayefanya vizuri anayeimba vizuri, sikatai anaimba vizuri sijui ukisema ame copy am proud, mi sijamaind wala nini lakini usiseme kwa watu ukadanganya ukaonekana mi sifai, siko hivyo mimi.”

Aliendelea,
“Watu wengine ambao hawaelewi vizuri wanaweza wakamwamini Diamond, kila mtu ana mapenzi yake labda kuna wengine wanampenda Diamond wengine wanampenda Alikiba. wanaweza wakawa wengine wanampenda Diamond wakaamini mimi nimemfuta Diamond kwenye nyimbo ya ‘Single boy’ lakini mimi wala, shahidi producer Manecky ndo alitengeneza ile nyimbo. Sikuwahi kwenda na Diamond kwenye studio na sikuwahi kufikiria kufanya nyimbo nae. 
Ila alinipigia simu baada ya ile nyimbo kuleak, imevuja Single boy, tayari nimeshafanya na Jaydee, akaisikia kwenye simu Ali kuna nyimbo nimeisikia unaonaje ile tukifanya ile itakuwa safi sana afu akanipa mpaka idea ya video na nini, nikamwambia sawa inawezekana lakini mimi nadhani itapendeza zaidi tukifanya nyimbo nyingine mimi na wewe,kwasababu hii tukifanya mimi na wewe haita make sense inapendeza ikiwa single boy single girl, hicho ndo kitu nilimjibu.

Akaniambia poa lakini we fikiria hiyo, nikamwambia okay lakini hata kama nikifikiria mi sioni jibu hapo, jibu ni hilo hilo. Hicho ndo kitu ambacho nilimjibu Diamond. Baada ya kama wiki moja nikaja kusikia kwenye mablog, mpaka nikapigiwa simu kwamba mimi nimemfuta kwenye ile nyimbo wakati yeye ndio aliyenifuta katika nyimbo yake, shahidi producer wangu mimi KGT anaitwa ambaye nimetoka naye muda mrefu sana..nyimbo zangu zote alikuwa akiproduce yeye”.

Kuhusu nani aliyemuita mwenzake kwaajili ya wimbo ambao Alikiba anadai Diamond alimfuta (Lala Salama)
“Hakuna aliyemuita mwenzake, ila mimi pale studio ambayo alikwenda kurekodi Diamond ni studio ya kwangu mimi ambayo ilikuwa imenitoa pale G-Records na watu wote wanajua nimetokea pale. ..Nakwenda kutembea kama nyumbani , kuwatembelea studio kumtembelea producer wangu, nikamkuta Diamond nae studio anarecord. Kuingia pale ndani ya studio nikakuta amesha record kabisa…akaniambia hebu sikiliza hii, nikasikiliza nikamwambia umeimba vizuri sana…nikajaribu kumwambia ungeimba hivi na hivi na hivi ingekuwa vizuri sana ila niliheshimu mamuzi yake kwasababu kila mtu na style yake, nikawa nataka kuondoka akaniita, akaniambia nakuomba uingize zile sauti zako za juu, kila mtu anajua ukisema hivyo, kuna sauti zangu flani hizo silaha zangu naweza kusema wengi wanapenda.

Nikamwambia nikiingiza vile nitaharibu mi nahisi umeimba vizuri sana, akaniambia imba bwana, atleast chochote kile, ndio nikaimba sasa mimi pale baada ya kufanyaje, nimeona aibu kumkatalia mbele ya producer wangu. Ni Kwa mapenzi yote nilifanya, nikamfanyia vizuri, kweli nilikwenda na feeling nzuri sana kwasababu nyimbo ilikuwa ndio style yangu vile vile.
Lakini sasa, kwasababu hata producer wangu hakuniambia nikaja kuisikia nyimbo imetoka ameingiza yeye vile nilivyokuwa nikiimba mimi yaani njia nilizokuwa nimepita akaingiza yeye, kwahiyo nikahisi kama amenifanya mtoto wakati mimi ni mkubwa wake na anajua hilo”.

Baada ya Alikiba kugundua hilo alichukua hatua gani za kumuuliza Diamond au producer?

“Niligundua kabisa producer wangu kunipigia simu mimi ilikuwa sio sawa kwasababu ile nyimbo sio yake halafu nilimpa tu uhuru wa kufanya kazi na kila msanii na nilijisikia vizuri Diamond amekuja mpaka pale studio kwetu kufanya kazi ..

Mi nilichukua simu yangu nikampigia Diamond, alichonijibu akasema yeye mwenyewe hajui , basi mi nikaachana na haya mambo, from then nikaona hamna tatizo lakini kwa kujua yeye alinifuta katika nyimbo yake”.
ad
Alikiba na Diamond walivyofahamiana:
“Unajua mimi Diamond nimemjua muda mrefu sana, mimi ndio nimemrelease pale akafanya nyimbo Sharobaro wakati mimi niko kwenye tour America, nilikuwa pale kama president, vice wangu alikuwa Bob Junior ambaye ndio producer pale, akanipigia simu kwasababu hakuwa na maamuzi ya kumruhusu arekodi, bana kuna msanii anaitwa Diamond anaimba vizuri tu, nikamwambia kama anaimba vizuri mrekodie”.

Alikiba amekiri kuwa ni shabiki wa nyimbo za Diamond lakini si shabiki wake:
“Mimi sijutii, vile vile am happy kwa yeye kufanikiwa kufanya kazi nzuri, amerepresent nchi yetu anajitahidi kwasababu honestly naweza kusema ukweli mimi pia sometimes nakuwa shabiki wa music..mimi sio shabiki wa Diamond. 
Unapoongelea shabiki unaweza kushabikia nyimbo basi, kuna nyimbo ambazo amenifurahisha Diamond ameimba nikasema yes amefanya vizuri, lakini sio kwamba namshabikia yeye, mi napenda music, sikufichi mi naskiliza music ya kila msanii anayeimba vizuri, siwakubali wasanii napenda kazi zao”.

Kuhusu alivyojipanga kurudi kwenye game na kukabiliana na Diamond ambaye kwa sasa ndie msanii aliye juu zaidi:
“Kizuri kikikosekana kibaya pia kinaonekana kizuri…!!”
Sporah alimuuliza kuwa haoni kwa kipindi alichokaa kimya Diamond ndio kama amechukua nafasi yake kwenye muziki:

“Hakuna mtu aliyechukua nafasi yangu, labda kama ni kiti ambacho nilikuwa nimekaa kinavumbi na nachotakiwa ni kukipangusa tu na kukaa tena, lakini labda yeye yuko siti nyingine ila the back seat
 Formula tofauti najua sasa hivi wanahitaji nini sababu muda ambao nimepumzika nilikuwa kama mshabiki wa muziki…lakini sikuweza kupata muziki ule kama tulikuwa tukisikia zamani Latifah…Violet ambao ule kama wimbo wa taifa. 
Na nimeona wanamiss kwasababu mafans wangu kwa upendo wao kwakweli nawashukuru sana kwa mapenzi ambayo wamenionesha uvumilivu na kunikumbusha Ali njoo we need you…and kwa respect ambayo nimewapa nawaambia Alikiba himself anakuja tena very soon, now new material, new look, na next level kila kitu”.

Ujumbe wa Alikiba kwa mashabiki wake:
“Asanteni tena na tena (mashabiki) malalamiko yenu nimepata sana, samahani najua nimewa letdown, kama mlivyoona wengine wamepata chance ya kushine na wakatuwakilisha kwasbabu tu Alikiba aliwaachia nafasi hiyo…narudi tena very soon so get ready for this na mnipokee vizuri.”

Siku mbili zijazo Alikiba ataachia wimbo wake mpya unaoitwa ‘Mwana Dar es salaam’. Stay tuned! ‘mwenyekiti’ chake ndo kaishakipangusa vumbi so wengine waende chumbani wakalale? (na watuache tulale) LOL!

Tuesday, July 22, 2014

"TETESI ZA SOKA ULAYA NA PRINCE ALPHA"
Boss wa Manchester City Manuel Pellegrini anapanga kumchukua Didier Drogba, 36, ambaye pia anasakwa na klabu yake ya zamani Chelsea (Daily Star), meneja wa Manchester United Louis van Gaal anataka kutoa pauni milioni 17 kumchukua beki mkabaji wa Ajax Daley Blind, 24 (Daily Express), United pia wameripotiwa kuwa karibu kumsajili beki wa kati wa Borussia Dortmund Mats Hummels, 25, kwa pauni milioni 16 (Daily Mail), Tottenham wameambiwa watoe pauni milioni 25 kama wanamtaka kiungo wa Real Sociedad Antoine Griezmann, 23, ambaye pia anafuatiliwa na Chelsea na Monaco (Daily Telegraph), boss wa Arsenal, Arsene Wenger amesema hatosajili mshambuliaji msimu huu na hivyo kufuta tetesi zinazomhusisha na Mario Balotelli wa AC Milan (Daily Mirror), kiungo wa Ureno Thiago Mendes, 23, ametupilia mbali uwezekano wa kurejea Chelsea na angependa kusalia Atletico Madrid miaka miaka mingine miwili (Daily Express), PSG watakwepa sheria za Fifa za fedha kwa kumchukua Angel Di Maria, kwa mkopo kwa mwaka mmoja kutoka Real Madrid. Di Maria anasakwa pia na Man United (Daily Express), Arsenal, Chelsea na Man United wanamtaka beki Reece Oxford, 15, baada ya kinda huyo kuonesha kipaji msimu uliopita akiwa na West Ham ya vijana (Daily Star), Arsene Wenger atamruhusu Thomas Vermaelen kwenda Manchester United, ikiwa tu atarhusiwa kumchukua Phil Jones au Chris Smalling (Daily Mirror), Chelsea watampa Didier Drogba mkataba wa miezi 12 wa kucheza ambao hautakuwa na kipengele cha kuwa kocha, ingawa Chelsea wapo tayari kuzungumzia hilo (Daily Telegraph), mshambuliaji wa Lille Divock Origi anakwenda Boston Marekani kuungana na Liverpool ambao wapo katika ziara ya mechi za kabla ya msimu. Atafanyika vipimo kabla ya kukamilisha uhamisho wake wa pauni milioni 10. Huenda pia akarejeshwa Lille kwa mkopo (Daily Star). Tetesi nyingine kesho tukijaaliwa. Share hizi na wapenda soka wote. 

ZIFAHAMU TABIA 27 ZA WANAUME/­ WAVULANA WANAOJUA KUPENDA
1. Hupiga simu mara kwa mara kumuulizia mpenzi wake anaendeleaje
2. Hujihisi vibaya pale anaposahau siku ya kuzaliwa (birthday) au siku mliyoanza mahusiano (anniversary) na huomba msamaha
3. Hushukiza na zawadi mbalimbali hata kama sio muda maalumu
4. Mara kwa mara hukuambia "NAKUPENDA">>>"I Love You"
5. Anajua kufanya mapenzi na wewe
6. Anajua jijnsi ya kujali, kukumbatia, kuchumu na kutimiza mahitaji ya
kimahaba kwa mpenzi wake
7. Huhisi kuumia pale mpenzi wake anapopitia hali ngumu
8. Hupenda kuona mpenzi wake ana furaha na hutamani kufurahi pamoja
9. Siku zote hutafuta muda mzuri kutumia pamoja na mpenzi wake
10. Kamwe hawezi kumpiga au kumuumiza kisaikolojia mpenzi wake
11. Huoa bila kusubiria sanaaaa...
12. Husamehe na kusahai pale anapoumizwa hisia zake
13. Hatotumia siri au udhaifu wako kukufanyia mabaya
14. Hatotangaza kama mpenzi wake ana madhaifu fulani
15. Ni mvumilivu na tayari
kufanyia usulihisho kwenye
matatizo ya uhusiano wake
16. Anajua kwamba ni muhimu kwa mpenzi wake kutumia muda wake akiwa na marafiki zake, ndugu na familia yake
17. Kamwe hawezi kutoka nje ya uhusiano wenu ( will not cheat on you)
18. Hawezi kuwachokoza marafiki zako wakike mpaka point ambayo itakuwa inakuboa au kukupa mashaka
19. Hawezi kwenda nje ili mfanye mpenzi wake apate wivu
20. Humheshimu mpenzi wake pale awapo na marafiki na
familia yake
21. Humsaidia mpenzi wake na kazi mbali mbali( mf. za nyubani au masomo)
22. Hufurahia kampani ya marafiki na ndugu wa mpenzi wake
23. Husaidia kufikia malengo na kutimiza ndoto za mpenzi wake
24. Kamwe hakatishi tamaa mpenz wake pale wanapokuwa wanaongea
25. Hujali sana kuhusu mawazo, hisia na ushauri wa mpenzi wake
26. Mara nyingi huwepo pale mpenzi wake anapohitaji msaada
27. HUJUA KWAMBA NJIA YAKE SIO NNJIA PEKEE.....

Sunday, July 20, 2014

I see someone receive an instant Miracle; type "Locate me Lord", and i will send it your box too, believe me or not something Good will be happen tonight in Jesus Name.
 #@!RAFIKI YANGU HUYU TUNAYE FANYA NAYE KAZI YA KIBARUA CHA KAZI ZA NDANI KWA HUYU BOSI WETU MPYA ANA OMBA USHAURI:Jina Kaapuni."Kwa Mfano eti Nina Pokea Kima Cha Chini Cha Mshahara wa Kazi Yangu! Laki Moja tu.Nifanyeje Ili Mwezi Januari Mosi Niweze Kujiwekea Akiba Milion moja Ili Nami Nitafute Hata Ki Boda Boda changu tu? " Mawazo Yenu Yana Hitajika Wandugu"


WEEKEND MOVIE JUMAPILI (3:30 Usiku) Stanger From Hell Part 2!
Stanger From Hell ni filamu inaoyohusu kulipisa kisasi: Jamaa baada ya kuoa alikaa mda mrefu bila kupata mtoto anaamua kuenda kwa mganga wa kienyeji. Upande wa pili mke wake hakuwa na msimamo katika ndoa yake, anaanza kutoka na kijana alieyekuwa na mahusiano naye zamani. Lakini kijana huyo anamuua jamaa mwenye mke. na baadaye mwanaye. baada ya mda anamuua mke. Mwisho wa siku kijana anatokeza kama mzimu nakuanza kulipa kisasi kwa kila alihusika na mauaji ya familia yake.
Je, kwa imani yako, unaamini mzimu unaweza kulipiza kisasi?





TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAPILI
Jose Mourinho hatomuuza Romelu Lukaku, 21, msimu huu (Sun), Arsenal wanajiandaa na maisha bila Thomas Vermaelen baada ya Manchester United kupanda dau la pauni milioni 10 kumchukua beki huyo wa Ubelgiji (Daily Star Sunday), AC Milan wanataka kumsajili Nani, lakini hawataki kutoa pauni milioni 11 wanazotaka Manchester United (Sunday Express), uhamisho wa Fabio Borini kutoka Liverpool kwenda Sunderland wa pauni milioni 14 bado uko kwenye ati ati kwa sababu mchezaji huyo wa Italia hataki uhamisho wa kudumu (Guardian), Barcelona wanamtazama beki wa kati wa Tottenham, Jan Vertonghen, 27 (Talksport), beki Ben Davies, 21, wa Swansea anajiandaa kwa vipimo vya afya kabla ya kujiunga na Tottenham mkataba ambao utamrejesha Gylfi Siggurdson kutoka Spurs kwenda Swansea (Guardian), Newcastle wanataka kumrejesha Andy Carroll kutoka West Ham, miaka mitatu na nusu baada ya kuondoka na kwenda Liverpool (Sunday People), Southampton wanamtaka Dusco Tosic, 29, kuziba nafasi iliyoachwa na Luke Shaw (Mail on Sunday), Arsenal wapo karibu kukamilisha mkataba wa pauni milioni 15.8 kumsajili Mario Balotelli, 23, kutoka AC Milan (Caught Offside), Beki wa Uholanzi na Feyernoord Stefan de Vrij, 22, anajiandaa kuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Louis van Gaal tangu aanze kazi rasmi Manchester United kwa mkataba wa pauni milioni 10 (Sunday Mirror), Manuel Pellegrini yuko tayari kuonesha azma yake kusalia Manchester City licha ya Brazil kutaka kumpa kazi ya kuifundisha timu ya taifa kuchukua nafasi ya Luiz Filipe. Scolari (Sun), mipango ya Chelsea huenda ikaingia doa kufuatia taarifa kuwa kiungo Mohamed Salah, 22, huenda akatakiwa kurejea kwao Misri kutumikia jeshi (Sunday Expess), kiungo wa Newcastle Hatem Ben Arfa, 27, hajapewa namba atakayochezea katika msimu mpya (Daily Mirror), Louis van Gaal anafikiria kutotaja nahodha wake mpaka Michael Carrick atakapopona jeraha lake (Mail on Sunday), Van Gaal pia ametaka mabadiliko kufanywa kwenye uwanja wa mazoezi ikiwemo kuweka taa zaidi kuruhusu mazoezi ya usiku na vitanda kwa wachezaji katika mkakati wake wa mazoezi ya mara mbili kwa siku (Daily Star Sunday), Liverpool wamemuulizia Isco wa Real Madrid, ambaye pia anasakwa na AC Milan na Sevilla, ingawa mwenyewe anasema hataki kuondoka Bernabeu (AS), Sporting Lisbon wamekataa dau la pauni milioni 24 kutoka kwa Arsenal kumnunua William Carvahlo. Sporting wanataka takriban pauni milioni 35.6 (Metro), Juventus na Manchester United wamekubaliana mauzo ya Patrice Evra ambaye atasaini mkataba wa miaka miwili, na huenda ikathibitishwa siku ya Jumatatu (Gazzetta dello Sport), Manchester United wataanza tena kumfuatilia Edinson Cavani kutoka Paris St-Germain ikiwa Wayne Rooney atashindwa kumridhisha Louis van Gaal (Mail on Sunday). Hayo ndio yamejiri kwenye magazeti ya Jumapili, tetesi nyingine kesho tukijaaliwa- share hizi na wapenda soka wote. Cheers!!!!!

Saturday, July 19, 2014

MBUNGE JOSEPH MBILINYI "SUGU" AFANYA ZIARA MTAA WA TONYA - ITUHA, JIMBONI MBEYA MJINI

  •  APATA FURSA YA KUKAGUA SHUGHULI ZA MAENDELEO NA KUONGEA NA WAKAZI WA ENEO HILO
  • VIJANA WALIOCHUKUA KADI ZA CCM SIKU CHACHE ZILIZOPITA WAZISALIMISHA
 Vijana wa Mtaa wa Tonya - Ituha walimpokea Mbunge wao kuelekea Tonya

 Msafara wa Mbunge kuelekea Mtaa wa Tonya

Mbunge alilakiwa na kikundi cha ngoma cha vijana
Mbunge Joseph Mbilinyi akicheza ngoma baada ya kuwasili mtaa wa Tonya

 Msafara wa Mbunge ukaelekea kufungua Ofisi ya CHADEMA -Tonya

Mh. Joseph Mbilinyi akiongea kabla ya ufunguzi rasmi wa Ofisi ya Tonya ambaye naye ameshiriki katika kuikamilisha

Hapa Mbunge Sugu akijiandaa kuzindua ofisi

 Akisaini kitabu cha wageni kuonyesha kuwa ofisi imefunguliwa rasmi

 Baada ya zoezi hilo Mbunge alipelekwa na diwani kukagua eneo linalotarajiwa kujengwa daraja katika mtaa wa Tonya

 Hapo Mbunge Joseph Mbiliyi akiongea na wakazi wanaoishi kandokando ya daraja hilo

 Pia Mbunge alipata fursa ya kutembelea shule ya sekondari ambapo madarasa mapya yamejengwa

Joseph Mbilinyi "Sugu" hapo akiwa katika mkutano wa hadhara katika Mtaa huo wa Tonya

 Wazee nao walikuwepo kusikiliza Mbunge akielezea shuhuli za kimaendeleo zilizofanyika jimboni

 Mmoja wa Kijana maarufu wa eneo hilo ambaye alichukua kadi ya CCM siku chache zilizopita alirudisha kadi  kwa Mbunge na kuelezea kuwa alichukua  kwa  kuwa alikuwa akihitaji shilingi 5,000 zilizokuwa zinagawiwa na CCM kwa vijana ili wagawiwe kadi hizo za CCM


 Wazee wakimshukuru Mbunge kwa kuwa mwakilishi wao mwema katika jimbo la Mbeya mjini

 Vijana wakikabidhiwa kadi za CHADEMA na mbunge wao


 Vijana wakiwemo ambao walirudisha kadi za CCM siku chache zilizopita wakiwa wanaonyesha kadi zao za CHADEMA walizokabidhiwa na Mbunge

 Wananchi wakionge na Mh. Joseph Mbilinyi mara baada ya mkutano wa hadhara

 Baadaye Mbunge Sugu alimalizia na kikao cha ndani na baadhi ya wakazi wa Tonya ambapo pia alipata fursa ya kupokea maoni na maswali na pia alitolea ufafanuzi mambo mbalimbali