Tuesday, July 8, 2014


Angalia kionjo cha Video ya Diamond Platinumz

Angalia kionjo cha Video ya Diamond Platinumz 'MdogoMdogo', (Kali)

posted 1 day ago by admin
Diamond Platinumz achukulii poa kila kazi anayofanya sasa hivi, anazidi kufanya kazi zitakazopenya kwenye anga ya kimataifa bila wasiwasi.
Ukiangalia kionjo cha Video ya wimbo wake ‘MdogoMdogo utaelewa vizuri kilichosemwa hapo juu. Kionjo hiki kinaashiria ujio wa video kubwa yenye script ya maana.
Video imetayarishwa na Godfather Production.

No comments:

Post a Comment