Wednesday, July 2, 2014

Dar es salaam Julai 02, 2014, Gari hili la Magereza lapigwa risasi likiwa  wafungwa ndani.

 Taarifa za awali zinadai kuwa Basi lililokuwa limebeba wafungwa limeshambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana eneo la Mayfair Mikocheni jijini Dar es salaam.Screen Shot 2014-07-02 at 5.07.59 PM

Basi hili lilikuwa likitokea mahakama ya Mwanzo Kawe ambapo kwasasa Basi hilo liko polisi Osterbay na wafungwa hao ndani yake
Screen Shot 2014-07-02 at 5.08.30 PMScreen Shot 2014-07-02 at 5.08.17 PMScreen Shot 2014-07-02 at 5.08.10 PMScreen Shot 2014-07-02 at 5.08.37 PMSTORY BY PRINCE ALPHA

No comments:

Post a Comment