Wednesday, July 2, 2014



Naitwa Peter niko na miaka 35 na nafanya kazi katika kampuni moja ya oil hapa mjini.
Juzi nilipewa milioni.32 mida ya jioni wakati benk zimefungwa kwa ajili ya mkataba niliyotakiwa kupeleka benk kwahiyo ilinibidi nichukue pesa hiyo na kwenda nayo nyumbani bila kujua kuwa ilikuwa ni mpango wa mkurugenzi wangu Kazini kwani alitaka aniue na kisha kuchukua pesa hizo na kusema nimevamiwa na majambazi na wameiba pesa.
Usiku nikwa nimelala na mke wangu kuna kitu kiliingia kichwani mwangu na kuamua kwenda choo. Nilipokuwa huko nilisikia mke wangu akipiga kelele kisha kusema jamani mume wangu.hajarudi nyumbani siku ya leo na sijui kaenda wapi... Jamaa wale 4 walionivamia waliendelea kumbana mke wangu, mke wangu aliwaonyesha pesa zilipo ila hakuthubutu kusema mimi nipo nyumbani,
kipindi hayo yote yanaendelea niliwapigia simu polisi wakawahi kufika nyumbani kwangu na kuizunguka nyumba yangu.
Basi jamaa wale walivyochukua pesa hizo walianza kutoka nje na kukutana na polisi kisha zilisikia risasi na majambazi watatu walikufa na mmoja alikamatwa ambaye alisema ukweli ni nani aliwatuma kufanya ivyo.
Mkurugenzi wangu alikamatwa na kuhukumia miaka 21 jela na mie nilipewa nafasi ya kuwa mkurugenzi pale ofisini.
Fahamu aliyenilinda siku hiyo ni Mungu na ndiye aliyenifanya na mie kuwa hapa nilipo. Amini kwa jina lake yeye mabaya yote uliyopangiwa na wanadamu wa dunia hii yawarudie wenyewe na ww uzidi kuwa juu na wao wazidi kuumbuka AMEN
Comment AMEN kisha share na mwenzako!!!!!!! STORY BY PRINCE ALPHA

No comments:

Post a Comment