
Diamond amzawadia mama yake gari lenye thamani ya Milioni 35, video zake mbili zamgharimu milioni 130
posted 8 hours ago by admin
Diamond Platinumz amemzadia mama yake mzazi gari aina ya Toyota Harrier Lexus katika siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza miaka 55, jana (July 7).Kwa mujibu wa Babu Tale, gari hilo limegharimu kiasi cha shilingi milioni 35, lakini zilizongezeka shilingi milioni 3.1 kwa ajili ya kulipamba kabla ya kumkabidhi rasmi.
Mama Diamond alikabithiwa rasmi gari hilo mbele ya watu mbalimbali waliofika nyumbani kwao Sinza kwa ajili ya kumpongeza kwa siku ya kuzaliwa na pia kuzindua video mbili za Diamond, MdogoMdogo na Bum Bum, matukio yaliyoambatana na futari ya pamoja ya jioni

No comments:
Post a Comment