
Leo ni Happy birthday ya msanii mkali anayefanya poa katika game la mziki wa Bongo namzungumzia Shelta a k a baba kailaaa manker yake inayofanya= poa kitaa naooo ni Kerewa Aliyofanya na Diamond kama utakua umeshare b day na jamaa comment yako ihusike sana Ndani ya Super Night Show na Prince Alpha
No comments:
Post a Comment