Sunday, July 20, 2014



WEEKEND MOVIE JUMAPILI (3:30 Usiku) Stanger From Hell Part 2!
Stanger From Hell ni filamu inaoyohusu kulipisa kisasi: Jamaa baada ya kuoa alikaa mda mrefu bila kupata mtoto anaamua kuenda kwa mganga wa kienyeji. Upande wa pili mke wake hakuwa na msimamo katika ndoa yake, anaanza kutoka na kijana alieyekuwa na mahusiano naye zamani. Lakini kijana huyo anamuua jamaa mwenye mke. na baadaye mwanaye. baada ya mda anamuua mke. Mwisho wa siku kijana anatokeza kama mzimu nakuanza kulipa kisasi kwa kila alihusika na mauaji ya familia yake.
Je, kwa imani yako, unaamini mzimu unaweza kulipiza kisasi?

No comments:

Post a Comment