Friday, July 11, 2014




LEO KWENYE SUPER NIGHT SHOW USIKU SAA NNE NA NUSU {10:30}
1.Usiku wa leo Izzo Bzness atakua live ndani ya 92.7 Mbeya higlands FM kuiachia na kuizungumzia ngoma yake mpya 'Walala Hoi',hayo yote ungana na ALPHA MSIGWA aka The Prince
Kama utakuwa na swali lolote kwa Izzo Bizness basi shiriki nasi kupitia ukurasa wetu wa facebook prince alfa, www.blogspot.com

No comments:

Post a Comment