ZIFAHAMU TABIA 27 ZA WANAUME/ WAVULANA WANAOJUA KUPENDA
1. Hupiga simu mara kwa mara kumuulizia mpenzi wake anaendeleaje
2. Hujihisi vibaya pale anaposahau siku ya kuzaliwa (birthday) au siku mliyoanza mahusiano (anniversary) na huomba msamaha
3. Hushukiza na zawadi mbalimbali hata kama sio muda maalumu
4. Mara kwa mara hukuambia "NAKUPENDA">>>"I Love You"
5. Anajua kufanya mapenzi na wewe
6. Anajua jijnsi ya kujali, kukumbatia, kuchumu na kutimiza mahitaji ya
kimahaba kwa mpenzi wake
7. Huhisi kuumia pale mpenzi wake anapopitia hali ngumu
8. Hupenda kuona mpenzi wake ana furaha na hutamani kufurahi pamoja
9. Siku zote hutafuta muda mzuri kutumia pamoja na mpenzi wake
10. Kamwe hawezi kumpiga au kumuumiza kisaikolojia mpenzi wake
11. Huoa bila kusubiria sanaaaa...
12. Husamehe na kusahai pale anapoumizwa hisia zake
13. Hatotumia siri au udhaifu wako kukufanyia mabaya
14. Hatotangaza kama mpenzi wake ana madhaifu fulani
15. Ni mvumilivu na tayari
kufanyia usulihisho kwenye
matatizo ya uhusiano wake
16. Anajua kwamba ni muhimu kwa mpenzi wake kutumia muda wake akiwa na marafiki zake, ndugu na familia yake
17. Kamwe hawezi kutoka nje ya uhusiano wenu ( will not cheat on you)
18. Hawezi kuwachokoza marafiki zako wakike mpaka point ambayo itakuwa inakuboa au kukupa mashaka
19. Hawezi kwenda nje ili mfanye mpenzi wake apate wivu
20. Humheshimu mpenzi wake pale awapo na marafiki na
familia yake
21. Humsaidia mpenzi wake na kazi mbali mbali( mf. za nyubani au masomo)
22. Hufurahia kampani ya marafiki na ndugu wa mpenzi wake
23. Husaidia kufikia malengo na kutimiza ndoto za mpenzi wake
24. Kamwe hakatishi tamaa mpenz wake pale wanapokuwa wanaongea
25. Hujali sana kuhusu mawazo, hisia na ushauri wa mpenzi wake
26. Mara nyingi huwepo pale mpenzi wake anapohitaji msaada
27. HUJUA KWAMBA NJIA YAKE SIO NNJIA PEKEE.....

No comments:
Post a Comment