Wednesday, July 16, 2014


Maisha ni Safari ndefu. Huwezi Kuamini Kama Kuna Mungu iwapo Utabaki Katika Furaha Milele bila Kupitia Shida. Daima Wakati Wa Shida Kila Mtu hupenda Kuwa Karibu na Mungu Kuliko Wakati Wowote Ule. Ikumbuke JANA Kama "Somo". Itazame LEO Kama Muda Wa Kurekebisha Kasoro Za Jana: Na itafakari KESHO Kwa Kuwa ni Kitendawili: Hakuna ajuaye Kama ataifikia.
Mshukuru Mungu Kwa Kukupatia Zawadi nzuri iitwayo "LEO"ASUBUHI NJEMA

No comments:

Post a Comment