waliinuka zaidi ya watu elfu tatu na hamsini wakijaribu kumtoa eliya ktk
msimamo wakumwamini Mungu wetu aliye hai,lkn ilikuwa ngumu sana kwa
eliya,walizungumza wawezavyo,waliapa kwa miungu yao wanayojua haikuwa
rahisi kama walivyofikiri,na mwisho wako eliya alimwita Mungu wake aliye
hai akailamba madhabahu,biblia inasema walimwogopa Mungu wa eliya hata
wengine walikufa,je wewe ni mambo gani yamekuvunja moyo,wamekusanyika
mara ngapi kwaajili yako ukaogopa,wamekubeza mara ngapi,ukavunjika
moyo,usiogope Mungu wetu anaishi ataacha wakucheke,wakutukane lakini
mwisho watamwona Mungu wako,usimwache Mungu Mpendwa.Ubarikiwe
No comments:
Post a Comment