Mabibi na mabwana zile video mbili alizoahidi Diamond kuzitoa leo zipo hapa.
July 07 ni siku ambayo Mama mzazi wa Diamond Platnumz
anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa na Diamond Platnumz aliahidi kutoa
video zake mbili kama zawadi kwa mama yake ambazo zote kafanyia nje ya
nchi.
Hizi ni video mbili ya kwanza ni Mdogo Mdogo aliyeiongoza God Father na ya pili ni Bum Bum aliyomshirikisha msanii kutoka Nigeria Iyanya.
No comments:
Post a Comment