Wale wa sugua gaga @shaatz kawaletea hii nyingine.
Video yake iko kwenye hatua za mwisho kukamilika lakini kwa sasa
kashakua tayari kukusikilizisha alichokiimba kwenye huu wimbo wake
alioupa jina la Subira ni kutoka kwa Shaa kwa mahadhi yale yale ya
mduara kama Sugua gaga.
Bonyeza play kusikiliza
No comments:
Post a Comment