Sunday, December 29, 2013

PICHA 18 ZA ALPHA MSIGWA AKA THE PRINCE AKA IGP SAID PLAY BOY MWEMA



















Ilivyokuwa kwenye kumbukumbu na dua ya kumuombea Sajuki,IMG-20131228-WA00771Leo imefanyika dua na kumbukumbu ya kumuombea Sajuki ambayo wasanii mbalimbali wa maigizo walienda kwa ajili ya dua hiyo wakiongozwa na mke wa marehemu Sajuki aitwae Wastara,Hizi ni baadhi ya picha zikiwaonyesha wakiwa makaburini kwenye dua hiyo.IMG-20131228-WA0047IMG-20131228-WA00681IMG-20131228-WA00621IMG-20131228-WA0053IMG-20131228-WA0048

Dada mmoja aliye julikana baadae kama Esther
alianguka pembeni ya kanisa huko Naija huku akiwa na kiganja cha mkono wa mtu mdomoni na gongo kubwa mkononi, baada ya kuhojiwa baadae alisema kwamba yeye alikuwa kwenye safari zake tu na baadae kujikuta amepoteza fahamu eneo hilo.
SIRI mbalimbali zimeanza kufichuka kuhusiana na ‘madudu’ yaliyokuwa yakifanyika, katika utekelezaji
wa Operesheni Tokomeza, iliyowang’oa madarakani mawaziri wanne. 

Siri hizo zimeanza kuvuja baada ya kubainika kuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aliandikiwa barua mara mbili na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi juu ya ‘madudu’ hayo, lakini hakuweza kuchukua hatua.

Habari za uhakika ambazo MTANZANIA Jumamosi limezipata zilisema kutokana na Pinda kushindwa kuchukua hatua, kulisababisha Dk. Nchimbi kugoma kujiuzulu pale alipotakiwa kufanya hivyo.
Hakika tasnia ya filamu kwa hapa bongo na hata baadhi ya nchi za Afrika zimekuwa zikipotosha na kuharibu jamii zetu hasa vijana.

Kwenye moja kati ya filamu ambazo inategemewa kutoka hivi karibuni hizi ni baadhi ya shots.
MAMA wa aliyekuwa msanii wa muziki na filamu, Hussein Mkiety ‘Sharo Milionea’, Zainabu Mkiety, bado yuko kwenye maumivu ya kudhulumiwa haki za mwanaye jambo linaloongeza simanzi moyoni mwake.


Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, mama huyo alidai kushangaa kuona wahusika waliokuwa wakifanya kazi na Sharo Milionea wanakaa kimya juu ya malipo ya kazi hizo ambazo marehemu aliacha akidai.

Alisema, alichoambulia ni zile pesa za gari alilokuwa akitumia marehemu pamoja na vitu vya ndani lakini kila akifuatilia malipo ya kazi, hakuna anayemjali huku akidai kuwa huenda ni kwa sababu ya kukaa kijijini pamoja na uzee wake.

“Nawaomba wasinidhulumu jamani, nahangaika na uzee huu, mwanangu alikuwa ndiye nguzo maishani mwangu, mfano niliona hadi kalenda lakini sikuona chochote juu ya kalenda hizo, nawaomba sana,” alisema mama huyo kwa sauti iliyojaa maumivu.

Friday, December 27, 2013

Mmoja ya watoto watatu walioshinda kucheza ngololo.


management yangu ya WCB itawasomesha miaka yote waliyobakiza shuleni ikiwa ni pamoja na kuwahamishia katika shule zilizo bora zaidi....Ahsanten sana Daresalaam kwa sapoti mliyonipa jana ....

Wednesday, December 25, 2013

Kaseja azungumzia kutompa mkono Ivo Mapunda, "sina bifu lolote na Ivo, ni uamuzi tu"Golikipa wa timu ya Yanga, Juma Kaseja amefunguka kuhusu uamuzi wa kutompa mkono golikipa wa timu ya Simba Ivo Mapunda, kwenye mechi ya hisani ya Nani Mtani Jembe.
Ivo amedai kuwa hana bifu lolote na goli kipa huyo ingawa ni kweli hakumpa mkono, na kwamba yale yalikuwa ni maamuzi tu.
"Unajua kaka watu wanaongea sana lakini mimi sina bifu lolote na Ivo,hivyo ni vitu vya kawaida tu na maamuzi ya mtu." Kaseja ameiambia blog ya Supermariotz.
Simba iliibuka na ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Yanga, matokeo yaliyopelekea Yanga kumtimua kocha Mholanzi Ernie Brandts.

Kijana mmoja ashambuliwa hadi kufariki dunia baada ya kusemekana kwamba ni mchawi aliyedondoka na ungo.15Wananchi wakiwa hasira kali wamempiga  hadi kumuua mwanaume aliyedhaniwa kuwa ni mchawi baada ya kuanguka akiwa amepanda ungo maeneo ya Mbezi Luis jijini Dar es Salaam.
Jamaa huyo mkazi wa Mwanza anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 20 hadi 25, alianguka jana saa 12 asubuhi maeneo ya Mbezi Luis baada ya kudai kuwa alikuwa kwenye safari zake za kishirikina.
Mashuhuda wanasema kabla ya kufariki alisema “Mimi nilikuwa na wenzangu sita, wanaume watatu na wanawake watatu ambapo tulikuwa tunatoka Mwanza kuelekea kwenye mkutano wetu”
“Lakini mimi kwa bahati mbaya nilikiuka masharti tuliyopewa na mkuu kwa kufungua macho ndipo ghafla nilianguka na kupata kadhia hii inayopelekea mauti yangu”
Hata hivyo kutokana na vurugu zilizokuwapo eneo hilo la tukio, ambapo wananchi wa eneo hilo walikuwa wanataka kumuua, kijana huyo alishindwa hata kutaja jina lake kutokana na kipigo alichokuwa anakipata kutoka kwao.161720

Tuesday, December 24, 2013








KUANZIA KUSHOTO NI ABDURY, BONJU, ADAM, IZACK
                                                                                                                                                        LAST THINGS I WISH ALL THE BST 4 ALL MEMBERS OF GREEN HILL BY ALPHA MSIGWA aka THE PRINCE. alphamsigwa.blogspot.com 0764849514                                                                                                                                                                                                                                

Monday, December 23, 2013


Hiki ndicho alichokijibu Zitto Kabwe baada ya tamko la Dr.Slaa kigoma14


Zitto Kabwe leo amefanya mkutano wa 3 ndani  ya Mkoa wa Kigoma,mikutano hii  ilianza siku ya Jumamosi kwa  sehemu ya Mwandiga mahali alipozaliwa na kukulia,Kasulu ilikua jana  na leo kafanya Kigoma mjini eneo la Mwanga kwenye uwanja wa Community Centre.
Kigoma7

Picha 4 za mkutano wa Dr.Slaa IgungaDKSLAA1Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)Dk. Willbroad Slaa jana December 22 alikua akihitimisha ziara yake ya kukagua uhai wa chama Igunga Mjini mkoani Tabora,mkutano huu uliofanyika katika uwanja wa Barafu.DKSLAA4DKSLAA3DKSLAA2