Thursday, December 19, 2013


Picha 7 za utengenezaji wa video mpya ya Chapa nyingine kutoka kwa Chege Chigunda.c


Chege yupo kwenye maandalizi ya video yake mpya ya wimbo wa Chapa nyingine ikisimamiwa na director Adam Juma ambapo wakali kama Madee,Temba,Dimaond, Najma, Romie Jones na wengine wengi wataonekana kwenye video.
Chek hizi picha kwanza wakati tukisubiri video yenyewe on AyoTVa7a8a4a3

No comments:

Post a Comment