Thursday, December 19, 2013

www.theclicktz.comwww.theclicktz.com
Binti anayeonekana kwenye picha alikuwa na mpenzi wake hotelini, kama ilivyo kawaida wapenzi kupigana picha wakiwa kwenye mazingira mapya. Walipiga picha za utupu baadhi zilikuwa za bafuni wakioga. Walipoondoka hapo hotelini siku kama ya pili ndipo waligundua kuwa walisahau kamera yao hotelini iliyo kuwa na picha nyingi za hatari yani hizi ni baadhi tu. Mmoja wa wafanya kazi wa hoteli hiyo ali ichukua nakunyamaza kimyaaaa.

No comments:

Post a Comment