Jokate kwenye Headline tena.
Leo Desemba 18, 2013,Jokate Mwegelo ame-make headline tena baada ya
kuzindua mitindo ya nywele na nguo aina ya Kidoti brand,Jokate Mwegelo
aimeanzisha klabu yake ijulikanayo kwa jina la Kidoti Club.
Katika uzinduzi wa klabu hii Jokate ame amplify kuwa Kidoti
Club ni tofauti na vilabu vingine kwani katika ujio wake huo mpya,
atakuwa anadeal na mambo mbali mbali katika jamii husani masuala ya
urembo na mitindo. Jokate pia alizindua aina mpya ya nywele zake za
kisasa katika mtindo wa kidoti Brand.
No comments:
Post a Comment