Monday, December 16, 2013

Video: Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa mazishi ya Nelson Mandela, Afrika Kusini

Tazama/sikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa mazishi ya Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, yaliyofanyika jana Jumapili (December 15) huko Qunu, Eastern Cape, Afrika Kusini.

No comments:

Post a Comment