Siku chache baada ya mwili wa Mandela kuzikwa, hiki ndicho kilichofanywa huko South Africa kinachomuhusu Mandela.
Nelson Mandela kiongozi aliyeiongoza South Africa kumaliza utawala
wa kibaguzi amebakia kuwa kumbukumbu kubwa kwa wananchi wa nchi hiyo na
dunia kwa ujumla.
Siku chache baada ya mwili wa Nelson Mandela kuzikwa, imezinduliwa
kumbukumbu nyingine ambayo ni sanamu kubwa yenye futi 30 iliyopewa jina
la Nelson Mandela Unity Statue.
Sanamu hiyo iliyotengenezwa na Bronze imezinduliwa tarehe 16 huko
Pretoria na imeonekana kuwa ni kivutio kingine cha utalii kwenye jiji
hilo.
No comments:
Post a Comment