Saturday, December 21, 2013


Nani mtani Jembe half time.halftime


Mechi ya Nani mtani jembe kwa sasa timu ziko kwenye mapumziko ya kipindi cha kwanza.
Simba inaongoza kwa goli mbili kipindi cha kwanza,upande wa magoli yote yamefungwa na Hamis Tambwe endelea kufatilia millardayo.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment